Juma chief
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 2,764
- 2,368
akili na nyege.....ni chui na paka.........
Kiukweli wanawake wenyewe ndo wanaanza kuvua nguo.... Mke wa mtu unavaa mini skirt... Mke wa mtu unajipitishapitisha.... Mke wa mtu ukiwa ndani kwako hovyo ukitoka nje unamaliza dressing table.... Mke wa mtu mara naomba hela ya vocha... Mara twende nikakupe ofa ya lunch.... Mke wa mtu mara kumwambia mwanamme 'umependezaaa'.... Mke wa mtu mara kamwambia mwanamme 'mume wangu kasafiri niko bored'......Sasa kwa dizaini hizi hatovuliwa hicho kilichobaki yaani pichu???Na km we ni mke wa mtu utakubali vipi kuvuliwa nguo, km kwel unajal ndoa yako huwezi ruhusu shenzi akusogelee,unatongozwa unakubali unapigwa dushe afu unaanza kulaumu wanaume
Sabaaash!!!!!
Kweli tena, ni kosa la wote wawili!!! Na huyo mwanamke anaanzaje kuvuliwa nguo na mwanaume hasiye mumewe?Hapa ishu isiishie kwenye mwanaume kuanza kumvua nguo mke wa mtu, ifikie mpaka kwenye - Mke wa mtu kukubali kuvuliwa nguo na asiye mume wake.
Kuuongelea upande mmoja, unamaanisha kua wake za watu ni wepesi kukubali? Hawawezi kukataa?
Ijazie hizo nyama thread yako.
Hahaha pole sana wanaume hawafikrii kama mnavyofikiri wanawake, swala la kuwa mke wa mtu ndiyo huwaongezea hamasa maana wengi wao sio wasumbufu hasa linapotokea baraka ya ujauzito, matibabu, pango la nyumba, ada za shule n.k. kigezo cha kuwa mke wa mtu wanaume wengi kwao sio ishu kikubwa ni kutimiza lengo la msingi.Wanaume ni watu ambao ufahamu wao unaweza kuwa interrupted kirahisi zaidi linapokuja suala na tamaa ya ngono.
Hebu fikiria ujasiri huwa unatoka wapi wa kumtongoza mpaka kutembea na mke wa mtu?
Jibu ni moja tu kipindi anafanya hivyo anakuwa akili zake haziko kawaida, fikiria kidogo uchungu wa mke au mume.
Vipi ukimkuta mwanaume mwenzio juu ya kifua cha mkeo?
Maumivu unayoyapata ndiyo anayoyapata mwanaume mwenzio pale anapogundua mkewe kaliwa nje.
Ukitaka kujua hili jiulize baada ya tendo kwanini unajilaumu?
Akili haiwezi kuja mpaka mbegu zimetoka wanaita bao sijui mara round moja.
Inamaana akili za mwanaume huwa hazifanyikazi kabisa kabla ya kupizi.
Nisaidieni niwaelewe nyie viruka njia msiyokuwa na haya.
Najua walioguswa zaidi wenye hekima watajirekebisha ambao akili zao wamekabidhisha kwa shetani watatokwa na mitusi kitusi ambacho huwa kinafanywa na mtu asiye na akili.
Karibuni
Kweli tena, ni kosa la wote wawili!!! Na huyo mwanamke anaanzaje kuvuliwa nguo na mwanaume hasiye mumewe?
Kiukweli wanawake wenyewe ndo wanaanza kuvua nguo.... Mke wa mtu unavaa mini skirt... Mke wa mtu unajipitishapitisha.... Mke wa mtu ukiwa ndani kwako hovyo ukitoka nje unamaliza dressing table.... Mke wa mtu mara naomba hela ya vocha... Mara twende nikakupe ofa ya lunch.... Mke wa mtu mara kumwambia mwanamme 'umependezaaa'.... Mke wa mtu mara kamwambia mwanamme 'mume wangu kasafiri niko bored'......Sasa kwa dizaini hizi hatovuliwa hicho kilichobaki yaani pichu???
😀😀Maana wewe ndo unaweza.. Au sio... Yako yanskushinda..... Nyambaf.
Tena wengine wanavua wenyewe hawasubiri kuvuliwa. Haya maswala ni magumu sana - It takes two to Tango!Hapa ishu isiishie kwenye mwanaume kuanza kumvua nguo mke wa mtu, ifikie mpaka kwenye - Mke wa mtu kukubali kuvuliwa nguo na asiye mume wake.
Kabisa. Nakubaliana na wewe.Vya wizi vitamu! [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Monicca, mke wa mtu usimtafute hata kidogo, LAKINI akijileta simwachi!Wanaume ni watu ambao ufahamu wao unaweza kuwa interrupted kirahisi zaidi linapokuja suala na tamaa ya ngono.
Hebu fikiria ujasiri huwa unatoka wapi wa kumtongoza mpaka kutembea na mke wa mtu?
Jibu ni moja tu kipindi anafanya hivyo anakuwa akili zake haziko kawaida, fikiria kidogo uchungu wa mke au mume.
Vipi ukimkuta mwanaume mwenzio juu ya kifua cha mkeo?
Maumivu unayoyapata ndiyo anayoyapata mwanaume mwenzio pale anapogundua mkewe kaliwa nje.
Ukitaka kujua hili jiulize baada ya tendo kwanini unajilaumu?
Akili haiwezi kuja mpaka mbegu zimetoka wanaita bao sijui mara round moja.
Inamaana akili za mwanaume huwa hazifanyikazi kabisa kabla ya kupizi.
Nisaidieni niwaelewe nyie viruka njia msiyokuwa na haya.
Najua walioguswa zaidi wenye hekima watajirekebisha..
Karibuni
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Unaanza na blauz kisha skirt then unapiga touch mashetani yakipanda zilizobaki anavua mwenyewe