Unaanzaje kumvua nguo mke wa mtu?

Unaanzaje kumvua nguo mke wa mtu?

Wanaume ni watu ambao ufahamu wao unaweza kuwa interrupted kirahisi zaidi linapokuja suala na tamaa ya ngono.

Hebu fikiria ujasiri huwa unatoka wapi wa kumtongoza mpaka kutembea na mke wa mtu?

Jibu ni moja tu kipindi anafanya hivyo anakuwa akili zake haziko kawaida, fikiria kidogo uchungu wa mke au mume.

Vipi ukimkuta mwanaume mwenzio juu ya kifua cha mkeo?

Maumivu unayoyapata ndiyo anayoyapata mwanaume mwenzio pale anapogundua mkewe kaliwa nje.

Ukitaka kujua hili jiulize baada ya tendo kwanini unajilaumu?

Akili haiwezi kuja mpaka mbegu zimetoka wanaita bao sijui mara round moja.

Inamaana akili za mwanaume huwa hazifanyikazi kabisa kabla ya kupizi.

Nisaidieni niwaelewe nyie viruka njia msiyokuwa na haya.

Najua walioguswa zaidi wenye hekima watajirekebisha..

Karibuni
And vice versa is true
 
monica nikupe mfano halisi ? Nlikuwa kigoma kikazi, nkakutana na mwanamke nlisomaga nae O-LEVEL, nikiri kabisa nlikuwaga namtamani, nae alikwa amekuja kikaz, Akanialika tukale luch wote tukapiga stori pale kila mtu akasepa kivyake, nimerud gheto kwangu kanitext kwamba aliinjoy kuniona na angefurah kama angeniona tena, nikamuuliza hata sasaiv, akasema yeah.. nikatimba kwake, kila nkigusa imo, nikafanya yangu.. Kesho yake nikatafuta account yake insta ile kumfollow kumbe she just got married few weeks ago.. the question is WHY DIDNT SHE TELL ME ? Why ?
 
Cha kushangaza mke wa mtu ukimtongoza utasikia sawa nimekubali lakini nimeolewa unajua kinachofata nini hapo mkuyenge tu
 
monica nikupe mfano halisi ? Nlikuwa kigoma kikazi, nkakutana na mwanamke nlisomaga nae O-LEVEL, nikiri kabisa nlikuwaga namtamani, nae alikwa amekuja kikaz, Akanialika tukale luch wote tukapiga stori pale kila mtu akasepa kivyake, nimerud gheto kwangu kanitext kwamba aliinjoy kuniona na angefurah kama angeniona tena, nikamuuliza hata sasaiv, akasema yeah.. nikatimba kwake, kila nkigusa imo, nikafanya yangu.. Kesho yake nikatafuta account yake insta ile kumfollow kumbe she just got married few weeks ago.. the question is WHY DIDNT SHE TELL ME ? Why ?
Wakati wa lunch hukumuulizia kama ameshaolewa tayari ama bado!?
 
Ngono salama ni ndani ya ndoa tu... Njia zote zilizobaki ni utapeli na biashara tu.

Huku kwenyewe ndo pabovu zaidi,
Mtu anatoka kuloweka kwengine anakuja kupiga kavu kwa mkewe,
Magonjwa hayawezi kwisha
 
Wewe kama umetongozwa na inatambua kuwa ni mke wa mtu kataa tu, haya mambo ya kutongozwa na kuanza kulalamika in public ni ishara ya utoto tu.
Wanaume ni watu ambao ufahamu wao unaweza kuwa interrupted kirahisi zaidi linapokuja suala na tamaa ya ngono.

Hebu fikiria ujasiri huwa unatoka wapi wa kumtongoza mpaka kutembea na mke wa mtu?

Jibu ni moja tu kipindi anafanya hivyo anakuwa akili zake haziko kawaida, fikiria kidogo uchungu wa mke au mume.

Vipi ukimkuta mwanaume mwenzio juu ya kifua cha mkeo?

Maumivu unayoyapata ndiyo anayoyapata mwanaume mwenzio pale anapogundua mkewe kaliwa nje.

Ukitaka kujua hili jiulize baada ya tendo kwanini unajilaumu?

Akili haiwezi kuja mpaka mbegu zimetoka wanaita bao sijui mara round moja.

Inamaana akili za mwanaume huwa hazifanyikazi kabisa kabla ya kupizi.

Nisaidieni niwaelewe nyie viruka njia msiyokuwa na haya.

Najua walioguswa zaidi wenye hekima watajirekebisha..

Karibuni
 
Mwamaume utapotez kipande cha mkate kwa malaya ila kwa mke wa mtu utapoteza uhai wako wote
 
Si wanaume,si wanawake,wote wahuni tu.
Na hii si kwa wale wenye umri mdogo tu,hata watu wazima wenye 50ties(namaanisha kina mama) wamo tu. Na mara nyingi hobi zao ni vijana sawa na watoto wao. Achana na wajane ambao bado mwili unachemka. Hata walio na waume zao. Tekinolojia imevamia hata sehemu za siri. Lakini sasa wa Afrika wafanyeje!? Wenzetu wanawaza kutafuta dawa furani,wengine wanakesha kutafuta kitu kipya duniani,na wengine ndo hao wanajitahidi kukaguana vyupi na kuonja ladha mbali mbali.
Japokua tukiacha masihara,tunakoelekea siyo. Na wenye jukumu la utafiti walitafakari hili. Mzee mwenye umri wa miaka 60 anatembea na mtoto wa miaka 18 hadi 20. Mtoto mdogo nae hawataki wa lika yake,ni wazee tu. Mama mtu mzima mwili wake unapoozwa na sebene la kijana mdogo. Mungu mwenyewe tulishamkimbia,unatoka kuzini,na mke au mme wa mtu,unajiona bonge la mtu,huku na wako hivyo hivyo ndo wanavyompiga huko aliko,watoto hawamuoni baba au mama,wanasepa zao na wao wanaanza,akishaonja ndo kuacha hawezi
 
Tatizo mnaanza wenyewe kutukubali, hata sisi hatupendi kuwavua wake wa watu.
 
Kwani huwa wanavuliwa? Si wanavue wenyewe kabisa na guest house wanatafuta wenyewe na nauri wanatoa kabisa wapate wanachokitaka. Kama mwanaume hujawahi tongozwa hutanielewa!
 
Wanaume ni watu ambao ufahamu wao unaweza kuwa interrupted kirahisi zaidi linapokuja suala na tamaa ya ngono.

Hebu fikiria ujasiri huwa unatoka wapi wa kumtongoza mpaka kutembea na mke wa mtu?

Jibu ni moja tu kipindi anafanya hivyo anakuwa akili zake haziko kawaida, fikiria kidogo uchungu wa mke au mume.

Vipi ukimkuta mwanaume mwenzio juu ya kifua cha mkeo?

Maumivu unayoyapata ndiyo anayoyapata mwanaume mwenzio pale anapogundua mkewe kaliwa nje.

Ukitaka kujua hili jiulize baada ya tendo kwanini unajilaumu?

Akili haiwezi kuja mpaka mbegu zimetoka wanaita bao sijui mara round moja.

Inamaana akili za mwanaume huwa hazifanyikazi kabisa kabla ya kupizi.

Nisaidieni niwaelewe nyie viruka njia msiyokuwa na haya.

Najua walioguswa zaidi wenye hekima watajirekebisha..

Karibuni
Mwanaume yeyote akiona mwanamke "kichwa cha chini ndio kinafanya kazi" kichwa cha juu kina sizi .
Sasa mpaka akishapiga bao la kwanza ndio medula oblongata inaanza kufanya kazi
 
Ni kosa kubwa sana hili lakini trust me kuna watu wanatembea na wake/waume za watu bila kuhisi hatia yoyote na wanaona wko right.
Kwanini?
Sababu moja wapo niliyokuja kuigundua ni hii!watu wanaoa au kuolewa kwasababu nyingi sana mbali na mapenzi (sio ngono plz).
Fikiria scenario hii: umekutana na girlfriend wako mwaka 2012 labda ukiwa chuo.mkapendana lakin hamkuweza kuoana kwasababubkadha wa kadha mfano
1. Huoni kama atalea watoto sawa sawa bcz of her life style na akil yake so unaona kabisa huwez kumfanya mke ila unampenda
2. Inatokea tu mnapotezana baada ya kile kilichowakutanisha kumalizika mfano masomo.
3. Katika harakat za kuweka maisha sawa kila mmoja ,mmoja wenu mambo yakaa sawa mapema na akapata connevtions ambazo anaona future kwenye maisha lakin connection hizo zinaambata na mapenz kisha ndo.
4. N.k
5. N.k

Sasa watu kama hawa ambao wanajuana na kuwa wapenz toka 2012 halaf ww ukaja ukamuoa huyo mschana baada ya kukutana nae 2017 na leo hii 2019 ,yaan una miaka 2 toanujuane na kuoana na mkeo wakat boyfriend wake wana 5 years before wanajuana nje na ndani!!

Hawa zilipendwa wawil wakija kukutana unafikiri wataacha kukumbushia yao ya enzi??
Na unadhan watahus hatia yoyote watu hawa? Seriously sio rahis sana.
 
Back
Top Bottom