Unaanzaje kumvua nguo mke wa mtu?

Unaanzaje kumvua nguo mke wa mtu?

Kwa hiyo sio wanawake wote wanakubali kuvuliwa chupi ila wanaokubali tunagonga tu kirohoo
 
Ubinafsi wa kujitosheleza kuliko kumtosheleza mke kunamfanya kujilengesha ili kukidhi haja zake kama binadamu. Wanawake wasiosuguliwa vizuri na waume zao ndiyo wenye matatizo ya kuumwa mgongo na anapompata shababi matatizo kwishney
Hili nalo neno....... Kwa kweli inachangia sana mwanamme asipokuwa mwajibikaji.
 
Wanaume ni watu ambao ufahamu wao unaweza kuwa interrupted kirahisi zaidi linapokuja suala na tamaa ya ngono.

Hebu fikiria ujasiri huwa unatoka wapi wa kumtongoza mpaka kutembea na mke wa mtu?

Jibu ni moja tu kipindi anafanya hivyo anakuwa akili zake haziko kawaida, fikiria kidogo uchungu wa mke au mume.

Vipi ukimkuta mwanaume mwenzio juu ya kifua cha mkeo?

Maumivu unayoyapata ndiyo anayoyapata mwanaume mwenzio pale anapogundua mkewe kaliwa nje.

Ukitaka kujua hili jiulize baada ya tendo kwanini unajilaumu?

Akili haiwezi kuja mpaka mbegu zimetoka wanaita bao sijui mara round moja.

Inamaana akili za mwanaume huwa hazifanyikazi kabisa kabla ya kupizi.

Nisaidieni niwaelewe nyie viruka njia msiyokuwa na haya.

Najua walioguswa zaidi wenye hekima watajirekebisha ambao akili zao wamekabidhisha kwa shetani watatokwa na mitusi kitusi ambacho huwa kinafanywa na mtu asiye na akili.

Karibuni

Hivi mtu anaku-date , unampa namba ya simu mwenyewe na wewe unachukua ya kwake kibaya zaidi unasevu jina la uongo ili mr. wako asijue, mnaanza ku-chat tena kwa siri mr. asijue, mnakubaliana kukutana mahali fulani, mnaingia nyumba ya wageni, mnaanza romance, anakuvua then mnatenda dhambi, Huu wote ni mchakato wala si bahati mbaya/au kubakwa ni mtu amenuia kumsaliti mumewe.NANI WA KULAUMIWA HAPA OBVIOUS ni Mwanamke maana ameacha mlango wazi adui kaingia.Na ndio maana zamani za torati ni wanawake waliokuwa wanapigwa mawe wakikutwa wamefanya dhambi ya uzinzi ingawa kimantiki adhabu ingebidi iwe kwa wote.Mkuu kwenye hili mwanamke anaplay role kubwa zaidi kuliko mwanamme.
 
Mtu wa kwanza kutaka kubaka ni mwanamke.mke wa Yusufu wao ni wepesi wa kupiga kelele wanaume tunaletewa mpaka watoto c wetu ila tunaweza kukomaa
 
Mimi nilitongoza mke wa mtu akakubali vzr kwamba tutatoka twende tukagegedane nikafunga safari nikafika mpaka gesti kidume nikalipia elfu 30 gesti nzuri tu namsubiria aje ila aisee manyoya niliyoachiwa sitayasahau ikabidi nitafute mwanamke wa pale gesti akanipa nikamalizana naye ila alikuwa mtamu sana yule mwanamke sasa mke wa mtu akanidanganya nilikasirika sana nikakutana naye kazini nikamwangaliaaa sikummaliza nikajua alikuwa amekusudia kunifanyia usanii
Si ushukuru kwamba hakuja...
Je kama angemweleza mumewe alafu akaja kimitego..... Ukanaswa... Ingekuwaje?
 
Jamani....ukweli huo ukiutaka, kamwulize Daudi....siku hizi mke wa mtu hasubiri kuvuliwa, anavua mwenyewe...sasa kama jamaa ndio hvo kazama kwenye kazi/biashara, hana muda na mkewe, unategemea nini? Mwanaume kaumbwa hivyo...I mean kutamani....nini kiko ktkt ya yale mapaja? I must try and taste it.....ila tukubaliane tu, wanawake/wanaume hawafanani katika ngono...tunatofautiana, japo vifaa ni vile vile....ya nini kujifanya malaikaaa?Utakavyoliwa na mumeo, sivyo utakavyotiwa na mpenz wako...utakavyomtia mkeo, sivyo atakavyotiwa na mpnz wake....hili ndilo huleta tofauti, tusidanganyane! But...anyway, ni mtazamo tu.
 
Siku hizi hawavuliwi chupi bali wanavua wenyewe chupi zao
 
Maneno mengi yameongezwa chumvi maana hayana uhalisia kbsa
 
Wanaume ni watu ambao ufahamu wao unaweza kuwa interrupted kirahisi zaidi linapokuja suala na tamaa ya ngono.

Hebu fikiria ujasiri huwa unatoka wapi wa kumtongoza mpaka kutembea na mke wa mtu?

Jibu ni moja tu kipindi anafanya hivyo anakuwa akili zake haziko kawaida, fikiria kidogo uchungu wa mke au mume.

Vipi ukimkuta mwanaume mwenzio juu ya kifua cha mkeo?

Maumivu unayoyapata ndiyo anayoyapata mwanaume mwenzio pale anapogundua mkewe kaliwa nje.

Ukitaka kujua hili jiulize baada ya tendo kwanini unajilaumu?

Akili haiwezi kuja mpaka mbegu zimetoka wanaita bao sijui mara round moja.

Inamaana akili za mwanaume huwa hazifanyikazi kabisa kabla ya kupizi.

Nisaidieni niwaelewe nyie viruka njia msiyokuwa na haya.

Najua walioguswa zaidi wenye hekima watajirekebisha ambao akili zao wamekabidhisha kwa shetani watatokwa na mitusi kitusi ambacho huwa kinafanywa na mtu asiye na akili.

Karibuni

Nakuomba tukutane kesho baada ya misa ya saa tatu asubuhi please. Chagua tukutane wapi ila mumeo aisjuwe.
 
WA kulaumiwa mwanzo kabisa ni waume zao. Wengi wao wanadhani wakikamilisha matumizi ya nyumbani kazi imekwisha. Wamesahau kwamba hitaji kubwa la msingi kwa mwanamke ni tendo. Laiti ingekuwa hitaji kubwa la mwanamke ni matumizi ya nyumbani basi watoto wa matajiri wasingeolewa.Mwanamke ni jasiri na anaweza kuvumilia shida zote ikiwa mumewe atamridhisha. Lakini Ikiwa "mambo ya ndani " si mazuri ndo mara nyingine anaenda kuvuliwa ch*pi nje. Waume tujitahidi kuwatosheleza wake zetu katika na matumizi.
 
Hii mada na yenyewe imenikumbusha mbali sana.
 
Back
Top Bottom