karuhanga
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 219
- 79
wanaakili sawaIla wewe unaona wana nini?
wanaakili sawaIla wewe unaona wana nini?
Huyo umwitaye mumeo ndiye aliyekata utepe ? Au hujui kuwa asilimia kubwa ya wanawake wanaolewa kwa kuwa umri unawaacha hivyo kujikuta wakiwa katika ndoa na wanaume wasio wa ndoto zao ? Ukikutana na mwanamume wa ndoto yako na akakutolea uvivu nawe utavua Tu ! Kuvua sio lazima iwe ni msukumo wa ujinga au umalaya.Nimejisahau nini mkuu? Mm ni mwanamke mwenye ndoa nimejaribu kuwaza siku nimemkuta mume wangu na mwanamke mwingine.
Wanaume ni watu ambao ufahamu wao unaweza kuwa interrupted kirahisi zaidi linapokuja suala na tamaa ya ngono.
Hebu fikiria ujasiri huwa unatoka wapi wa kumtongoza mpaka kutembea na mke wa mtu?
Jibu ni moja tu kipindi anafanya hivyo anakuwa akili zake haziko kawaida, fikiria kidogo uchungu wa mke au mume.
Vipi ukimkuta mwanaume mwenzio juu ya kifua cha mkeo?
Maumivu unayoyapata ndiyo anayoyapata mwanaume mwenzio pale anapogundua mkewe kaliwa nje.
Ukitaka kujua hili jiulize baada ya tendo kwanini unajilaumu?
Akili haiwezi kuja mpaka mbegu zimetoka wanaita bao sijui mara round moja.
Inamaana akili za mwanaume huwa hazifanyikazi kabisa kabla ya kupizi.
Nisaidieni niwaelewe nyie viruka njia msiyokuwa na haya.
Najua walioguswa zaidi wenye hekima watajirekebisha ambao akili zao wamekabidhisha kwa shetani watatokwa na mitusi kitusi ambacho huwa kinafanywa na mtu asiye na akili.
Karibuni
[emoji106][emoji106][emoji122]Moniccca unajijua ni mke wa mtu unafatwa na mwanaume hadi mnaanza mahusiano akili umeziacha wapi? Unaacha nyumba yako hadi unaingia chumba kimoja na ambaye siyo mumeo ufahamu wako umeuacha wapi? Mnakubaliana hadi mnaanza kuvua nguo ujasiri wa kumtetea mumeo na kiapo kuwa utakuwa mwaminifu umemwachia nani?
Na mume wa mtu dawa!!! Maziwa ya ng'ombe dawa ya sumu ilhali ng'ombe akila sumu anakufaMkE wa mtu mtamu
Bora dada yangu umefunguka maana mwenzenu huyu katupia upande wetu tu hajui hii ni kama rushwa mtoaji na mpokeaji wote wana makosa.mke wa mtu unaanzaje kuvuliwa nguo...
kutongozwa,kutoa namba ya simu mpk kuingizwa gesti....!!
mshenzi hapa na mchafu ni mwanamke
Kuna ule usemi kunguru hafugiki walimaanisha nini?WA kulaumiwa mwanzo kabisa ni waume zao. Wengi wao wanadhani wakikamilisha matumizi ya nyumbani kazi imekwisha. Wamesahau kwamba hitaji kubwa la msingi kwa mwanamke ni tendo. Laiti ingekuwa hitaji kubwa la mwanamke ni matumizi ya nyumbani basi watoto wa matajiri wasingeolewa.Mwanamke ni jasiri na anaweza kuvumilia shida zote ikiwa mumewe atamridhisha. Lakini Ikiwa "mambo ya ndani " si mazuri ndo mara nyingine anaenda kuvuliwa ch*pi nje. Waume tujitahidi kuwatosheleza wake zetu katika na matumizi.
Sio sawa kuwafananisha wanawake wote na kunguru..... Kunguru ni wale viruka njia.Kuna ule usemi kunguru hafugiki walimaanisha nini?
Maana wewe ndo unaweza.. Au sio... Yako yanskushinda..... Nyambaf.Semeni yoooote! lakin kama mwanaume umeshindwa kumtunza na kumjali mkeo, sisi wengine tutakusaidia pale uliposhindwa!!!.
Na km we ni mke wa mtu utakubali vipi kuvuliwa nguo, km kwel unajal ndoa yako huwezi ruhusu shenzi akusogelee,unatongozwa unakubali unapigwa dushe afu unaanza kulaumu wanaumeWanaume ni watu ambao ufahamu wao unaweza kuwa interrupted kirahisi zaidi linapokuja suala na tamaa ya ngono.
Hebu fikiria ujasiri huwa unatoka wapi wa kumtongoza mpaka kutembea na mke wa mtu?
Jibu ni moja tu kipindi anafanya hivyo anakuwa akili zake haziko kawaida, fikiria kidogo uchungu wa mke au mume.
Vipi ukimkuta mwanaume mwenzio juu ya kifua cha mkeo?
Maumivu unayoyapata ndiyo anayoyapata mwanaume mwenzio pale anapogundua mkewe kaliwa nje.
Ukitaka kujua hili jiulize baada ya tendo kwanini unajilaumu?
Akili haiwezi kuja mpaka mbegu zimetoka wanaita bao sijui mara round moja.
Inamaana akili za mwanaume huwa hazifanyikazi kabisa kabla ya kupizi.
Nisaidieni niwaelewe nyie viruka njia msiyokuwa na haya.
Najua walioguswa zaidi wenye hekima watajirekebisha ambao akili zao wamekabidhisha kwa shetani watatokwa na mitusi kitusi ambacho huwa kinafanywa na mtu asiye na akili.
Karibuni
Hilo nalo nenoNa km we ni mke wa mtu utakubali vipi kuvuliwa nguo, km kwel unajal ndoa yako huwezi ruhusu shenzi akusogelee,unatongozwa unakubali unapigwa dushe afu unaanza kulaumu wanaume
Sabaaash!!!!!