Unaanzaje kumvua nguo mke wa mtu?

Unaanzaje kumvua nguo mke wa mtu?

Hapa ishu isiishie kwenye mwanaume kuanza kumvua nguo mke wa mtu, ifikie mpaka kwenye - Mke wa mtu kukubali kuvuliwa nguo na asiye mume wake.

Kuuongelea upande mmoja, unamaanisha kua wake za watu ni wepesi kukubali? Hawawezi kukataa?

Ijazie hizo nyama thread yako.
Kiafrica africa ni mwanaume anamtongoza mwanamke! ndio maana hata mke wa mtu akikutongoza ukifumaniwa na mumewe msala mkubwa ni kwa mwanaume! Kifupi iko hivi lets say am a married woman hlf nimekupenda saaana ukikataa kunishuhulikia basi inapita lakini kwa mwanaume kwa uwezo mlojaaliwa technically utaongeza silaha mpaka nitaingia kwenye box lako! Ndio maana inasound one sided in most cases!
 
Kiafrica africa ni mwanaume anamtongoza mwanamke! ndio maana hata mke wa mtu akikutongoza ukifumaniwa na mumewe msala mkubwa ni kwa mwanaume! Kifupi iko hivi lets say am a married woman hlf nimekupenda saaana ukikataa kunishuhulikia basi inapita lakini kwa mwanaume kwa uwezo mlojaaliwa technically utaongeza silaha mpaka nitaingia kwenye box lako! Ndio maana inasound one sided in most cases!
Unamaanisha mwanamke ni dhaifu mbele ya kutakiwa kufanya ngono?
 
Mkuu wanaoongoza kutongoza hovyo ni wanaume za watu, tena na Pete anayo kidoleni. Yaani huwa na nakwazika sana.
Lakini kwa mwanaume kutongoza ni lugha tu,we unaamini wanavyokuambiaga eti wewe ni mzuri?huwa ni story tu.Akili mkichwa hakuna mzuri like mama yake na wala halali naye.
 
Wanawake wengi ndiyo chanzo cha yote, naamini mwanamke akiwa na msimamo hayo yatapungua
 
hahahahahahah unamvua kwa meno ile ya mwisho lain hizi zingine hata sijui huwa zinaruka saangapi ila wake za watu niwatam wanakuwaga na mautundu mbaya yaani kile kilain unakivua baada ya bao la kwanza

Kakichafuka sio mbaya atakabadili kwa mkoba ako na kengine
Wee jamaa ni mtundu kama miss Natafuta
 
Mimi siwavuagi nguo nasogeza tu chupi nawekaaaaaaaaaaaaaaaaa......
Hahaaa unawekaaaaa .hii ni shida nyee wanaume itabidi mpelekwe polisi mkapimwe kiwango cha hisia ya mapenzi maana duuu to much[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Unaanza kumuimbia wimbo mzuri huku unamuomba kumvua nguo,akigoma unampuliza sikioni atakubali tuu..Kwani monnica umenisahau hata mimi? Ujue nakupenda sana naomba nione zipu yako inavyofunguka...
 
Vip na wale wake za watu wanaotutongoza? Maana me kuna mke wa mtu ananisumbua kila siku ananilazimisha nikamgegede, sababu ananiambia hawajafunga ndoa wanaishi nae tu, nifanyaje hapo Dada angu?
Sio mke huyo sema Mpenzi/mchumba/hawara/kinyumba wa mtu ananisumbua
 
uzinzi, uzinzi, uasherati, ngono, +ibada,maombi,kusoma Quran,Bible. Kuhudhuria misa,kwenda kuswali. kisha unajivuna au kuhamasisha watu wafanye zinaa! Yote haya ukiyajumlisha majibu ni ama Unafiki,ushirikina au ukafiri hatima yake ni kupata adhabu. Tujirekebishe,tuombe msamaha kwake Muumba.
 
Hivi niulize wakuu, kwani anayetongoza na anayetongozwa yupi ana makosa!
Wanaume siku zote wanafanya kama wanajaribu. Kinachofuata kitategemea na ushirikiano atakaooneshwa na upande wa pili. Hakuna kazi ngumu kama kutongoza. Tofauti na Binti ambaye anatongozwa kila siku, Mke wa mtu alishasahau hata namna ya kukwepa kamba za mwanaume. Pia wanawake wana tabia ya kujisahau wakiwa kwenye ndoa.
 
Haiwezekani mume kutembea na mke wa mtu bila mke wa mtu kutembea na mume wa mtu. Sasa hapo kwanza ndo sielewe anayelaumiwa ni nani? Ni mwanaume au mwanamke maana tendo hili ni ridhaa ya wawili. Bado hapa naona mwanamke ndo kashikilia mpini na siyo kisu maana bila ya ridhaa ya mwanamke hakuna tendo hapo.

Mi naweza kusema kwanza mke wa mtu ndo anatakiwa kutanbua status yake then wanaume wataufyata. Ila kuja hapa unalalamikia wanaume siyo sahihi wakati jinsia zote zimehusika tena zote zikiwa kwenye ndoa. Ila inawezekana limekufika wewe basi unaona ni wanaume ni wabaya kwasabau we ni ke. Unaweza kuwa umetongozwa ila siyo lazima ukubali. Pia utambue kuna wanawake wenzio wanatamani waume za watu. Hata kama wewe hujawahi basi usitupe lawama kwa wanaume maana wanawake mchango wao mkubwa zaidi ta wanaume katika kufanikisha usaliti.
 
Ubinafsi wa kujitosheleza kuliko kumtosheleza mke kunamfanya kujilengesha ili kukidhi haja zake kama binadamu. Wanawake wasiosuguliwa vizuri na waume zao ndiyo wenye matatizo ya kuumwa mgongo na anapompata shababi matatizo kwishney
 
Mimi nilitongoza mke wa mtu akakubali vzr kwamba tutatoka twende tukagegedane nikafunga safari nikafika mpaka gesti kidume nikalipia elfu 30 gesti nzuri tu namsubiria aje ila aisee manyoya niliyoachiwa sitayasahau ikabidi nitafute mwanamke wa pale gesti akanipa nikamalizana naye ila alikuwa mtamu sana yule mwanamke sasa mke wa mtu akanidanganya nilikasirika sana nikakutana naye kazini nikamwangaliaaa sikummaliza nikajua alikuwa amekusudia kunifanyia usanii
 
Back
Top Bottom