MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 15,607
- 39,385
Ha ha ha, tunashare tu story, nakufanya jamii forum iwe liveUnaoneka una kaexperience nayo mkuu!
Ha ha ha, tunashare tu story, nakufanya jamii forum iwe liveUnaoneka una kaexperience nayo mkuu!
ukishakuwa na mipaka unakuwa sio uhuru tena mamii bt trust me hii kitu ya kula/kuliwa kwa mke/mume haitokaa iishe mana uhuru wa nafsi saa ingne unafanya kazi automaticaly ndo mana wengi wanajikuta washafanya so usishangae ht ww ukaja kuutumia uhuru huu uko mbeleni[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]Hakuna Uhuru usiyo na mipaka
Utetezi usio kuwa na tijaukishakuwa na mipaka unakuwa sio uhuru tena mamii bt trust me hii kitu ya kula/kuliwa kwa mke/mume haitokaa iishe mana uhuru wa nafsi saa ingne unafanya kazi automaticaly ndo mana wengi wanajikuta washafanya so usishangae ht ww ukaja kuutumia uhuru huu uko mbeleni[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]
you know mke wa mtu sumu right? bado sija graduate kwenye hilo eneo niko mafunzoniSo far umesha wachungulia wake za watu wangapi?
Ninalijua, hadithi zake ziko kila mahali, nimelifanya na wasiolewa ila bado sijabahatika kulifanya na walioolewaKumbe unaongea usilolijua?
Sinaga tabia hiyo lakini hii thread ndio inasababisha nifanye hivyo kuna ile law inasema "trust nobody suspect everybody"[emoji23] [emoji23] [emoji87]Kama nawewe unanyatiaga wake za wenzio lazima uhofie kuibiwa pia
Ewaaaa, apo ndo penyewee. Tumbua tu kadada tumbua.mke wa mtu unaanzaje kuvuliwa nguo...
kutongozwa,kutoa namba ya simu mpk kuingizwa gesti....!!
mshenzi hapa na mchafu ni mwanamke
Sawa sawa kabisa. Monica jiulize na kwann wanawake ambayo ni wake za watu wanakubali kuvuliwa chupiHapa ishu isiishie kwenye mwanaume kuanza kumvua nguo mke wa mtu, ifikie mpaka kwenye - Mke wa mtu kukubali kuvuliwa nguo na asiye mume wake.
Kuuongelea upande mmoja, unamaanisha kua wake za watu ni wepesi kukubali? Hawawezi kukataa?
Ijazie hizo nyama thread yako.
Wewe dada umefundwa ukafundika.iman yangu inanituma kua ndoa yako itadumu miaka mia!!!Na hutopata magonjwa ya moyo ..kitu ukishakijua wala hakikusumbui.shida hawa wanaorukia ndoa ....mm mswahili ht siku moja husikii mwanaume anadharaulika kwa umalaya. .