Masanja
JF-Expert Member
- Aug 1, 2007
- 4,820
- 8,886
hahahahah........ongezea Mungu anawaona!!!!kiingereza chenyewe ishu kutamka hata maneno 10 mfululizo bila kigugumizi leo hii mnataka kiarabu kisa mmemuona mfalme nyie watu nyie!!
hahahahah........ongezea Mungu anawaona!!!!kiingereza chenyewe ishu kutamka hata maneno 10 mfululizo bila kigugumizi leo hii mnataka kiarabu kisa mmemuona mfalme nyie watu nyie!!
mmmmh !! Mkuu wewe ndiyo al watan vipi hukuelewa bhjana.. "just fuata neno kwa neno utaona kuwa lafudhi tu au lahaja ndo tofauti" ila neno hapo lina maana ya kiswahili pia !!Sijaelewa kitu
Wee unashabikia ZERO uchangiaji.... hao bantu wako hata kuvaa nguo ya kujistiri hawakujua!!
LUGHA ya kiswahili ukitoa neno moja to la KIARABU !! litabaki :- Woo,woo chi chui chi-chi
kama ndege !!
MMoja wao ni wewe !!! kwa kuleta upotofu na uongo !!Wow! What a bigoted-obnoxious opinionated comment!
Ulisoma wapi kuwa wabantu hawakuvaa nguo? Na lugha yao ipo hivyo?
MMoja wao ni wewe !!! kwa kuleta upotofu na uongo !!
اوووووه شكرا يا اخي العزيز، كلنا امة اسلامية ولغتنا العربية ونحبها محبة يعقوب ليوسف، من يكره العربية فاليأكل الليمون حتى يخفف الالم، لكن العربية ما زالت عالية في كل العصور، لغة يتلفظ بها كل مسلم خلال الصلوات الخمسة.ياعيني و مشاءالله معروفين اهل البلوشي بطالك الكلم ياللله مرحبا يأخي العزيز
Was this really called for?Go to hell with your arabic..
NiSamehe bana....Okay.
Kumbe ndo wewe tulikuwa Cairo siku ile, aisee.Ni kweli mkuu, nilikuwa Cairo na niliweza kupata mahitaji yangu dukani kwa kuongea Kiswahili na wenyeji kuongea Kiarabu, maneno mengi yanaingiliana. Lakini si vibaya kuweka Kiarabu kama somo mashuleni kwa watakaopenda kama vile ilivyo Kifaransa.
Hahahaha,aisee hii Kalikiingereza chenyewe ishu kutamka hata maneno 10 mfululizo bila kigugumizi leo hii mnataka kiarabu kisa mmemuona mfalme nyie watu nyie!!
Lugha yenyewe hii ya kuandika kutoka kulia kwenda kushota? hapana!Kwa upande wa lugha, Tanzania tumechelewa sana sana. Baada ya kuchelewa tumelewa kasumba lugha inayohitajika ni Kiingereza tu. Kwa kweli tulihitaji lugha zaidi mashuleni. Na kwa best practices narejelea watu wa Yuropa. Wale watu wanajifunza lugha nyingi sana mashuleni. Na uelewa wao wa mambo ya kimataifa ni mkubwa zaidi.
Swahiba = Swahib !! rafiki = Rafiq !! Kumbe nawe mwingi wa kalamiti za kinahau ?!!?kiarab chenyewe Kiswahili tayari lol - chai-Shai, Maji-Mai, Swahili-Swahilia, Asubuh-Subhi, Ishirini-Ishiruna, Thalathini-Thalathuna ha ha ha ha ha hayo kwa uchache ila yapo mengi sana,
Sasa mbona hukuniaga ulipoondoka? Au hukutaka nimwambie mkeo uliyokuwa unayafanya, mimi si mbea.Kumbe ndo wewe tulikuwa Cairo siku ile, aisee.
Sikutanii, njoo pm nikuambie uamini.Sasa mbona hukuniaga ulipoondoka? Au hukutaka nimwambie mkeo uliyokuwa unayafanya, mimi si mbea.