Umuhimu wa Kiarabu kuwa lugha Rasmi Tanzania

Huku Taifa likipokea wawekezaji wengi kutoka nchi zinazozungumza lugha ya kiarabu duniani na pia kuwepo kwa fursa za ajira na biashara katika nchi zinazozungumza kiarabu (Morocco, Algeria, UAE, Saudi Arabia, Misri, Libyan n.k) Nafikiri ni busara sasa Lugha ya Kiarabu irasimishwe kwa kuingizwa kwenye mitaala ya elimu kama lugha rasmi ya mawasiliano nchini Tanzania.
Leo Simba wapo Sudan (wanapozungumza pure Arabic)
 
Bora ki mandarin kiliko kiarabu..watoto wetu wasije bure kuvaa mabomu..waendee katikati ya watu wengi kama sokoni au shuleni..wakaaanza kulitaja lile jina kisha kujilipua.

Chinese language ni muhimu zaidi...kiuchumi kwa nchi yetu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom