Umuhimu wa Kiarabu kuwa lugha Rasmi Tanzania

Wee jitoe ufahamu, baki na umbumbumbu wako !! Since day one WAARABU tumeiBARIKI nchi hii kwa LUGHA MAMA, USTAARABU (Arabian Civiliztions ), AMANI, UUNGANISHI WA MAKABILA kwa lahaja moja "Salaam Aleykum" na pia majina ya miji yote (DAR-ES-SALAAM-MTWARA-TANGA-KIGHOMA-ARUSHA-TABORA-SINGHIDA-ZANZIBAR-KILWA-MAFIA-KIL~MANJAA~ARO, MUSSOMA,KIBAHA ,BAGA~MOYO,nk nk..

Tazama artitecture design za waarabu (majengo ya kama ikulu/Ocean road Hospital, majengo nk nk) !!! Pamoja na kutaifishiwa mashamba,Viwanda,maghorofa na mhospitali.... Bado wasema uwekezaji gani.. Nguruwe wee/shwaein ngedere wa chooni !!

Long live SS Bakhressa kuweza sambaza bidhaa zake na kuajiri wazawa.... (huyo mmoja tu)

chuki na husda zimekutawala....

Architectural design sio ushahidi kuwa ni waarabu walijenga. Ushahidi upo kuwa zilijengwa na waafrica waliocopy style ya Kiarabu kutumia corals kutengeneza lime mortar na features walizocopy baada ya kuwa exposed na Arabic styles. Hivyo indigenous nao walishiriki katika kukuza architectures.

Kuna maneno kama Bagamoyo hutakiwi kusifia kwa sababu iliyokana na ukatili wa Arabs katika slavery.

Kilwa ni jina ambalo lilikwepo na ilipewa heshima kwa Africans kutoka kwa externals. Terms nyingine zinaweza kuwepo kwa arabic names lakini sio kwamba hakukwepo na local names. Its a matter of popularity and who ruled later na kubadili facts.

Arabs hawakuleta Ustaarab. Ustaarab ulikwepo kabla ya kuja kwao na walikuja kutokana na kujua kuna interests na nguvu wao wakataka kuichukua kwa self interests. Ndio maana kulikwepo na centralized states, coins, kings, scripts, roman trades na Neolithic cultures.[/QUOTE]
Wee unashabikia ZERO uchangiaji.... hao bantu wako hata kuvaa nguo ya kujistiri hawakujua!!
LUGHA ya kiswahili ukitoa neno moja to la KIARABU !! litabaki :- Woo,woo chi chui chi-chi
kama ndege !!
 
lugha zipo nyingi (English, French, Spanish, Arabic, German etc) na kila moja ina umuhimu wake lakini hatuwezi kuzipitisha zote kuwa lugha rasmi za mawasiliano nchini kwetu hiihali bado huko vijijini kuna watu hawakijui kiswahili ambacho kinapaswa kuwa lugha mama
 
Wenyeji nimekuelimisha ni Nilo-Saharans, San, Khoi.

List of ethnic groups of Africa - Wikipedia

Hapo nazungumzia Subsaharan Region. North Africa ina history yake unique ambayo isifananishwe na Subsaharan.


Tazama unavyojichanganya mara Nilo Saharans mara sub saharans.

We kama ni archeologist basi ndiyo maana hii nchi hatuendelei kwa kuwa na "wasomi" bogus kama wewe.

If such are the priests, God bless the congregation.
 
Kuitaja tu Sahara una maana huelewi unachoongolea. wewe kama archeologist basi shule ulisomea ujinga.

Unaijuwa Raptha?

Ni Subsaharan.

Raptha ni City iliyokuwa na connection na Greeco-Roman na ipo kwenye Roman Map ya Ptolemy. Ni mji kabla ya Arabs. Na ushahidi kuwa Eastern Africa ilikwepo na power kubwa kabla ya kuja kwa Arabs na ndio utetezi wa kupinga Kuwa Azani was developed by Arabs.

d5a23071c3b264cbbf77940f102ab594.jpg


8f025550cdefebce1ee9803d77159ef0.jpg


c99cc71d1a8ed0dd8db6fa7337ee3c7d.jpg


57d325373a50f69aa0cdf929f9d460bb.jpg


Naweka sources kwa sababu nina imani ninajadiliana na mtu mwenye hekima.
 
Tazama unavyojichanganya mara Nilo Saharans mara sub saharans.

We kama ni archeologist basi ndiyo maana hii nchi hatuendelei kwa kuwa na "wasomi" bogus kama wewe.

If such are the priests, God bless the congregation.

Sijachanganya, hujataka kuelewa.

Nilo Saharans sio eneo ni ethnic group. Sub saharan ni eneo. Sijajichanganya bali hujasoma hizo ethnic groups nilizokupatia katika link na kuanza kubisha.

Wanaitwa Nilo Saharan kutokana na maeneo waliyoanzia kama kiini chao (Nile zones na Saharan region) na wameenea mpaka Ngorongoro kutokana na Seasonally Nomadic way of life rather than sedentary.
 
Mhhh waarabu wamewekeza nini?labda ugaidi
Ungesema kichina&kihindi kama issue ni uwekrzaji manager wahindi na wachina ndio wamewekeza sana Tz
Hivi ugaidi na ukabila ni ndg eeh,

Wee jamaa unaakili kama inzi..
 
Mleta uzi umebashiri jambo ambalo watu wengi hawajui, but one day Islam will dominate the world.

Wanadamu tusiishi kwa udini. Huwezi kulazimisha wanadamu wote wawe Islam. It will never be. Kuna imani nyingi duniani katika mabara mengi na kila mtu ana haki ya kuamini msimamo wake.

Lets promote kuheshimiana kwanza kuliko kulazimishana kuwa sawa kimitazamo.
 
Sijachanganya, hujataka kuelewa.

Nilo Saharans sio eneo ni ethnic group. Sub saharan ni eneo. Sijajichanganya bali hujasoma hizo ethnic groups nilizokupatia katika link na kuanza kubisha.

Wanaitwa Nilo Saharan kutokana na maeneo waliyoanzia kama kiini chao (Nile zones na Saharan region) na wameenea mpaka Ngorongoro kutokana na Seasonally Nomadic way of life rather than sedentary.


Wewe nakuuliza ethnics kabla ya ujio wa Wabantu wewe umekazana Nilo Saharans.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga, nenda kasome vizuri historia yako, si ile ya kujazwa ujinga amabayo nadhani ndiyo iliyokujaa.

Nimekuulliza juu huko Raptha unaijuwa? Umekwepa.
 
Huku Taifa likipokea wawekezaji wengi kutoka nchi zinazozungumza lugha ya kiarabu duniani na pia kuwepo kwa fursa za ajira na biashara katika nchi zinazozungumza kiarabu (Morocco, Algeria, UAE, Saudi Arabia, Misri, Libyan n.k) Nafikiri ni busara sasa Lugha ya Kiarabu irasimishwe kwa kuingizwa kwenye mitaala ya elimu kama lugha rasmi ya mawasiliano nchini Tanzania.

Wewe na wenye mawazo kama yako na wanaokuunga mkono wote ni mipumbavy... PERIOD.
 
Kujifunza lugha ya kigeni ni fulsa kubwa sana,ila watu wengi hawajilishtukia hilo. Si tu kiarabu we ukiwa na muda na nafasi jifunze lugha ambayo itakufanya upate kutoka kimaisha kwasababu raia wa kigeni huwa wanapenda sana anapofika ugenini kupata mtu atakayeongea nae kwa lugha ya kwao huwa anajiona yuko huru sana.
 
Hadhih laisat lughatina asliy kasawahil au ingliz, wa lakin hadhih lughat muhim jidan: tijariah, iqtiswadiah wa siyasiyah aidwan. Faman la yuhibuhat alaihi mashakil kathir.
Na'3am yaa akhi L karim, kalamak mumtaz wa fa3lan sahih.... in-shaa-allah mafi mashakil... kulaha kheyr !! Labud nitwasal biLughatnna al-3arabiya bilKamaeel wa bidun khouf !!
MashaAllah lahjatak al-3arabiya jameel wa tayib katheer !! Ahssana Allahu ileyk,,,:D
 
Back
Top Bottom