FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,883
- 109,211
Hollywood style, tazama vitu live hivi:
Hii ni Waarabu wa Rwanda walipouana
Na hii unajuwa ni wapi? huku mwana dada akichukuwa photo kwa ukumbusho:
Hollywood style, tazama vitu live hivi:
Bila kusahau mbatata - batatiisSwahiba = Swahib !! rafiki = Rafiq !! Kumbe nawe mwingi wa kalamiti za kinahau ?!!?
hebu tuchanganye kidogo:-
Kiswahili = Kiarabu
Ishirini = ishirin
Mia = mia
Elfu = elf
Harusi = arus
Lafudhi = lafudh
Lahaja = lahja
Zahama= Zahma
Ishi = ishi
kufa = wafaa
kitabu = kitab
Haramu = haram
Maji = mayi
Kero = kerh
Hewa = Hewa
Deni = den
Wee ha ha ha ha .. naona una kanjaa .. akili ipo kweny mloooo!!! (yaani matunda kma Tufaha,Ananasi,zabibu nk nk)Bila kusahau mbatata - batatiis
Kwa kweli waarabu ni watu wa kutisha sana
Hii yote ni lana ya kuwaua na kuwatesa waafrika watauana wenyewe kwa wenyewe mpaka waishe na walivyonyimwa akili hapo wanawalaumu magharibi utasikia ni marekani hao wakati wanamalizana na kuchinjana wenyewe bora ya wanyama pori.Nio hao hapo MIARABU MASHETANI YAKICHINJANA!
We nawe umeonesha utahira wako, kwani kiarabu hakikuletwa na waarabu according to history?Kasome historia yako vizuri, Wabantu walipokuja hapa mashariki mwa Afrika walikuta kuna wenyeji tayari, jee unawajuwa ni nani?
Inaonesha hata maana ya Uarabu hauujuwi ni nini, kwa kukupa faida tu, Uarabu ni lugha. Full stop.
Sasaa hata kama una maneno ya asilimia 10% ya Kiarabu basi na wewe una Uarabu wa asilimia hizo, upo hapo ulipo?
Hivi wewe hujasoma historia? Hujaelimishwa kuwa Wabantu huku kwetu ni wakuja tu?
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Wee jitoe ufahamu, baki na umbumbumbu wako !! Since day one WAARABU tumeiBARIKI nchi hii kwa LUGHA MAMA, USTAARABU (Arabian Civiliztions ), AMANI, UUNGANISHI WA MAKABILA kwa lahaja moja "Salaam Aleykum" na pia majina ya miji yote (DAR-ES-SALAAM-MTWARA-TANGA-KIGHOMA-ARUSHA-TABORA-SINGHIDA-ZANZIBAR-KILWA-MAFIA-KIL~MANJAA~ARO, MUSSOMA,KIBAHA ,BAGA~MOYO,nk nk..Suicide bombing
We nawe umeonesha utahira wako, kwani kiarabu hakikuletwa na waarabu according to history?
Yeah of course according to bibble na imani ya kikristo itakua ngumu sana kupractise maana wengi watauliwa kwa imani yao na huo ndo utakua mwisho wa dunia umekaribia....mark my words islam dominance in world will complete the bibble prophecyMleta uzi umebashiri jambo ambalo watu wengi hawajui, but one day Islam will dominate the world.
Mashariki ya katiHao Waarabu wamekileta kutokea wapi?
Mashariki ya kati
Nijuavyo mimi ni waarabu wa mashariki ya kati kutoka Asia......ie tippu tippu...labda kama syllabus zimetofautianaMashariki ya kati ipo Afrika pia. Hujakosea.
Mahaba yakizidi utaonekana mchawi sasWee jitoe ufahamu, baki na umbumbumbu wako !! Since day one WAARABU tumeiBARIKI nchi hii kwa LUGHA MAMA, USTAARABU (Arabian Civiliztions ), AMANI, UUNGANISHI WA MAKABILA kwa lahaja moja "Salaam Aleykum" na pia majina ya miji yote (DAR-ES-SALAAM-MTWARA-TANGA-KIGHOMA-ARUSHA-TABORA-SINGHIDA-ZANZIBAR-KILWA-MAFIA-KIL~MANJAA~ARO, MUSSOMA,KIBAHA ,BAGA~MOYO,nk nk..
Tazama artitecture design za waarabu (majengo ya kama ikulu/Ocean road Hospital, majengo nk nk) !!! Pamoja na kutaifishiwa mashamba,Viwanda,maghorofa na mhospitali.... Bado wasema uwekezaji gani.. Nguruwe wee/shwaein ngedere wa chooni !!
Long live SS Bakhressa kuweza sambaza bidhaa zake na kuajiri wazawa.... (huyo mmoja tu)
chuki na husda zimekutawala....
Leo ndiyo umejua kuongea eeeh...Mahaba yakizidi utaonekana mchawi sas
Yaani hamna kitu sipendi kama haya mashetani yanavyotuona sisi weusi walitukuta hatujiwezi hata kushindwa kujitawala
Sasa huyo nyumbu anasema Kilimanjaro ni kiarabu kwelii??? Kilimanjaro limetokana na neno Kilima Kya Rua yaani Mlima Wa Mungu kwa kichagga huyo nyumbu anasema ni waarabu wametoa jina.
Arusha limetokana na neno Arusa eneo la malisho mazuri ya Mifugo kimaasai hicho huyo nyumbu anasema ni kiarabu hicho
Hivi Musoma ni kiarabu kweli?
Baba yako ndio alikua anaongea hivyo mshenzi wewe bastardized moronLeo ndiyo umejua kuongea eeeh...
Woo woo woo.. chi chi chi ssususuu hizi tamko ushasahau eeeh?????
Mimi si Mwanahistoria kama wewe lakini pamoja na yote hayo, naweza kusema with confidence kwamba hapo juu umeibananga historia kwa kiwango kikubwa!
- Mosi, kabla huja-conclude kwamba Arabs walichangia kuharibu states unatakiwa kwanza kukumbuka Arabs walikuja wakati gani! Hata kama unasema kuna historia mpya bado historia hiyo haitabadilisha ukweli kwamba, watu wa mwanzo kutoka Middle East ni Waajemi. Baada ya Waajemi kuja Pwani ya Afrika Mashariki, moja ya familia hizo wali-settle Kilwa kunako karne ya 12 ambako ni kweli walikuta kuna established society ya watu weusi. Baada ya Waajemi hawa ku-settle Kilwa, kwanza si kweli kwamba walilazimisha Uislamu! Ni katika kipindi hiki ndipo Kilwa ilipata umaarufu mkubwa sana kwenye ukanda wa Pwani ya Afrika hadi Sofala kiasi cha kuipiku Mogadishu kama central business center kwenye ukanda huu! Na ni katika kipindi hiki ndipo Sultani wa Kilwa (Mhajemi) alikuwa na control ya Pwani yote Afrika Mashariki hadi Mombasa! Mombasa, Lamu, Zanzibar, Mafia... zote hizi zilikuwa subjects za Sultan wa Kilwa!
- Mwaka 1497 ndo kwa mara ya kwanza Vasco da Gama aliingia Kilwa (Kilwa Sultanate) wakati akielekea India. Meliya pili iliingia miaka michache baadae na mwaka 1502 Wareno wakaja kishari zaidi baada ya kuona subjects wa Kilwa Sultanate hawamwelewi! Hapa ndipo Mreno alianza kushambulia subjects wa Kilwa Sultanate ambapo alianza kwa kuitwanga Zanzibar kisha akaja kuitwanga Mombasa na Kilwa yenyewe! Ni hawa Wareno ndio WALIZIBOMOA hizi states na ndio walioharibu mji wa Kilwa na sio Waarabu! Kwavile wakati huo Wareno walikuwa wanaikalia hadi Oman; wakaona strategic location kwao ni Mombasa na hapo ukawa ndio mwisho wa Kilwa!!!
- Mwaka 1650's Wa-Oman wakafanikiwa kuwatimua Wareno kule kwao! Miaka michache baadae wakafanikiwa kuwatimua na Mombasa pamoja na the rest of East Africa na hapo ukawa ndio mwisho wa Portugal domination in East Africa! Wa-Oman, ambao ndio Waarabu walikuja East Africa wakati Kilwa imeshajifia miongo kadhaa iliyopita! Na hakuna any African state ambayo ilihariiwa na Waarabu wakati huo kwa sababu, wakati huo sehemu ambazo zilikuwa zimeendelea zaidi ni Mombasa, Malindi na Zanzibar!
hayo ndiyo maneno tatizo watu wa tanzania hawajiamini
Aisee hongera kwa fani yako. Kuna siku niliona Uzi humu kuhusu kusiwa cha Ladham kinadaiwa kuwa si cha Tz yaani kisiwe ndani ya jamhuri ya Muungano kwa malengo kuwa kama inavyodaiwa znz ijitenge basi wachukue na hiki kisiwa pia. Nikajaribu kujiuliza maswali mengi, mwisho nikatafuta kitab cha A HISTORY OF TANZANIA by Isaria Kimambo na AJ Temu nilivyosoma ndani kuhusu visiwa na historia zake wakanirefer kwa CHITTICK baada ya kusoma nikagundua kuwa hawa waarab wanaotetewa humu vitu vingi havijaanzishwa na wao from the beginning ila walikuja, wakaona, wakateka, wakaanzisha vyao au kuendeleza. Mf historia ya kilwa imejikita sana kwa waarab lakini kulikuwa na C.state kabla ya waarab .
NB
Waarab ni wageni Africa ni watu wenye asili ya rangi nyeusi hiyo ni asili yetu lakini sio vibaya tukaishi kwa AMANI na kila jamii kama ss tunavyoishi kwao lakini kwa asili jamii nyingi ni ngeni ktk sehemu mbambali.
OMBI KWAKO
Kwakuwa wewe ni archaeologist naomba utuandalie mada zenye kuelezea uasili na chimbuko za jamii mbalimbali ktk taifa letu naamini mikanganyo mengine haitokuwepo, asante.
Leo ndiyo umejua kuongea eeeh...
Woo woo woo.. chi chi chi ssususuu hizi tamko ushasahau eeeh?????
Kama mlikua mmemezeshwa history chafu ya mtu mweusi inabidi mrejee ukweli wenyewe na mjue mtu mweusi alishawahi kuitawala dunia yote the first civilizers