Umuhimu wa Kiarabu kuwa lugha Rasmi Tanzania

Apollo

Apollo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2011
Messages
4,902
Points
2,000
Apollo

Apollo

JF-Expert Member
Joined May 26, 2011
4,902 2,000
Zungumza maneno ya ukweli na kujua sio unaongea kwa Shanna kiswahili no lugha ambayo I me ko a maneno mengi toka lugha za kiarabu kihindi pamoja na lugha za kibantu pia kiasi kuna maneno yakijerumani kama shule na mengine halafu kuna Kireno lugha hizo zote zimeingia kwenye kiswahili
What's the point?

Kila mtu anafahamu hivyo.

Tatizo ni wanaosema Kiswahili ni kiarabu kwa asilimia kubwa which is a lie. Asilimia kubwa ya kiswahili kuanzia maneno, mizizi ya vitenzi, utamkaji, mfumo wa sentesi ni Kibantu. Bantu inaplay zaidi ya 60% ya structure ya Kiswahili.

Pia kutohoa maneno ni kawaida. Hata kingereza kina maneno kutoka lugha nyingine ikiwemo hata kiswahili.
 
Apollo

Apollo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2011
Messages
4,902
Points
2,000
Apollo

Apollo

JF-Expert Member
Joined May 26, 2011
4,902 2,000
Upumbavu wa mijitu isiyojuwa kutafakari ni kudhania kuwa lugha inatengenezwa na misamiati au maneno.......wakati lugha ni sarufi yaani kanuni za uumbaji wa maneno na uundaji wa sentensi........leo asilimia kubwa ya watu wanao maliza elimu na wamefaulu kiswahili kwa alama A ila hawafahamu ni nini wamefuzu kwa kusoma hicho kiswahili ........

Lugha kubeba maneno mengi ya lugha ya taifa jingine haifanyi lugha hii kupoteza uhalisia wake......uhalisia wa lugha upo katika sarufi ya matamshi na uumbaji katika sentensi........ sisi tumechukua maneno mengi ya kiarabu......kiingereza......kifaransa........kibantu.......kichina.........ila haya maneno hayajaathiri sarufi ya uumbaji wa maneno na hata matamshi.......kama unabisha chukua sentensi ya kiingereza au kiarabu halafu nibadilishie iwe ya kiswahili bila kuhamisha neno wala kubadili neno yaani ikae vile vile bila kuya pangua maneno.....ndipo utaona kuwa kila lugha ina mfumo wake wa sarufi unaojitegemea.......
Asante sana kwa darasa zuri.
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
64,760
Points
2,000
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
64,760 2,000
Yeah of course according to bibble na imani ya kikristo itakua ngumu sana kupractise maana wengi watauliwa kwa imani yao na huo ndo utakua mwisho wa dunia umekaribia....mark my words islam dominance in world will complete the bibble prophecy
What's the point?

Kila mtu anafahamu hivyo.

Tatizo ni wanaosema Kiswahili ni kiarabu kwa asilimia kubwa which is a lie. Asilimia kubwa ya kiswahili kuanzia maneno, mizizi ya vitenzi, utamkaji, mfumo wa sentesi ni Kibantu. Bantu inaplay zaidi ya 60% ya structure ya Kiswahili.

Pia kutohoa maneno ni kawaida. Hata kingereza kina maneno kutoka lugha nyingine ikiwemo hata kiswahili.
Neno swahili pia ni Kiarabu, usisahau hilo.
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
64,760
Points
2,000
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
64,760 2,000
Kama mlikua mmemezeshwa history chafu ya mtu mweusi inabidi mrejee ukweli wenyewe na mjue mtu mweusi alishawahi kuitawala dunia yote the first civilizers
Unazidi kudhihirisha kuwa shule ulienda kusomea ujinga. Nani alikudanganya kuwa Uarabu ni rangi?
 
S

Sir kuji.

Member
Joined
Jan 14, 2014
Messages
27
Points
45
S

Sir kuji.

Member
Joined Jan 14, 2014
27 45
Kiswahili ni Kibantu at large percent na kilikwepo hata kabla ya kuja kwa Arabs.

Percent ya Waarabu katika lugha sio kubwa kuzidi percent ya Bantu languages katika kiswahili. Pili kilikwepo kabla ya Arabs kuja na hata wao wamesema katika documents zai kuwa Azania ilikuwa na Lugha moja kutoka katika branches za tribal languages.

Hatuwezi kusema kiswahili ni kiarabu kwa sababu ya uwepo wa maneno ya kiarabu. Kila lugha ina words kutoka lugha nyingine especially when a new item or object is new to another language au popularity yake.
 
S

Sir kuji.

Member
Joined
Jan 14, 2014
Messages
27
Points
45
S

Sir kuji.

Member
Joined Jan 14, 2014
27 45
Hata kichina nacho kimeshika hatam yaani bidhaa zao nyingi lazima waweke japo kaneno kamoja ka kichina

lugha nayo inaishi na chochote kumalizia kinachoishi hukua, na kufa hivyo kiswahili lugha yangu adhwiimu ni kiswahili na siyo kiarabu bali kwani kimekopa maneno ya kiarabu kama kingereza kilivyokopq maneno ya kigiriki.
 
negro kushitic

negro kushitic

Member
Joined
Oct 20, 2016
Messages
9
Points
45
negro kushitic

negro kushitic

Member
Joined Oct 20, 2016
9 45
Kwahiyo kiswahili siyo lugha ni mavi tu sindio? Badala ya kushawishi mataifa mengi yajifunze ksw we unaongelea kiarabu! Nan akaombe kaz kwa hao wabaguz wa rangi hivi hamjui kinachowakuta Dada zetu wanaopelekwa huko uarabun kufny kaz? MNA boa xn post zenu
 
Brightfame

Brightfame

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2016
Messages
1,149
Points
2,000
Brightfame

Brightfame

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2016
1,149 2,000
Usijali, ndio maana nchi imepata ufadhili wa ujenzi wa misikiti ili kukiandaa kiarabu kuwa rasmi !!
 
saint DR

saint DR

Senior Member
Joined
Aug 21, 2014
Messages
168
Points
225
saint DR

saint DR

Senior Member
Joined Aug 21, 2014
168 225
Naona kuna mods wamefuta comments zangu sasa rejesheni mala moja kabla sijawekA virus huko kwenye server zenu.
 
C

chige

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Messages
8,403
Points
2,000
C

chige

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2016
8,403 2,000
I think tunatofautiana katika usawa wa maelezo lakini tofauti ni nyakati.

Ukizungumzia kuja kwa waajemi kukaa Kilwa, Kilwa haikuwa state ya Watu wa Nje. Kilwa ilikuwa state ya Indigenous Africans waliokuwa na trades kukua kutoka Zimbabwe na Mapungubwe. Waarabu na warumi ni wageni Kilwa lakini hapo baadae Arabs kuwepo katika ushirikiano na Rulers wa Africans na mpaka wanakuja kuhamia moja kwa moja tayari wapo ambao walikwepo kutokana na Intermarriage na rullers. Hivyo tambua Kilwa ilijengwa na kuwa na power before external influence kuja hapo baadae.

Pia waajemi wamechelewa kufika. Warumi, Egyptians na Greeks walishaitambua East Africa na kulikwepo na Miji kama Raphta.

Egyptians wanaujua mlima Kilimanjaro, Herotus alishadocument Lake Victoria na Kagera kama chanzo cha Mto Nile na kuandika kuhusu Mlima Kilimanjaro. At that time before Arabs at the Coast. Pia Somalia ndio ilianza kuwa settled na wahajemi ndipo wakaja to the southern East Africa.

Kuhusu Arabs na conflicts na Portuguese ilikuwa ni kutokana na kwanza kila mmoja alikuwa anataka kutawala East African routines ambazo zina faida kubwa na pia kuhusu kueneza udini. Haikuwa kwa faida ya Indigenous bali interests zao kutokana na potentiality iliyokwepo na ilikwepo hata kabla ya kuja na ndichi kiini kuwafanya wapende East Africa.
Kuhusu states kuharibiwa, zipo. Na sio naelezea kwa nadharia ya kukupinga bali zipo research paper mbalimbali zimeelezea. Zipo mpaka takwimu za idadi East Africans waliouzwa na adhari ya Caravan Slavery katika areas ambazo ilitawala.

Sorry nilipochora sio its part of this talk, nilikwepo ninasoma na kuweka notes.
Kwa hakika hapa hatubishani wala kupingana bali kuelimishana na ndio maana nashangaa inakuwa vipi jazba imetawala toka kwa wachangiaji!

Nikirudi kwenye mada, nimeechukua nyakati kuanzia karne ya 10 kwa makusudi kwa sababu ni katika kipindi hiki ndicho ushahidi wa kihistoria unaonesha ujaji wa watu kutoka Arabian Peninsula, huku watu wa mwanzoni kabisa wakiwa ndio hao Waajemi.

Mtu wa mwanzo kuingia Kilwa katika muktadha huu wa Kilwa Sultanate ni Ali ibn al-Hassan Shirazi. Huyu alikuwa ni mtoto wa Mtawala wa Shiraz kutoka kwa mama mtumwa mwenye asili ya Uhabeshi. Baada ya kufariki kwa Baba wa Ali, ndugu zake wakamtoa kutoka kwenye kundi la warithi; jambo ambalo bila shaka ndilo lilichangia kwa Ali ibn al-Hassan Shirazi kuondoka pamoja na wafuasi wake na wanafamilia wake na kuja kutua Mogadishu kabla ya kuanza safari nyingine iliyomfikisha Kilwa na ku-settle. Na kama nilivyosema hapo awali, alipoingia Kilwa alikuta jamii za Kiafrika zipo well established na maandiko mengi yanaonesha Mfalme wa Kiafrika ambae alikutana na Ali ibn al-Hassan Shirazi ni Mfalme Almuli. Huyu hakugombana nae na wala hapakuwa na mgogoro miongoni mwao kwavile alichokuwa amefanya Ali ibn al-Hassan Shirazi ni kununua eneo la Kilwa Kisiwani huku Waafrika wengi wakiwa concentrated kwenye mwambao wa Kilwa na sio Kilwa Kisiwani. Na ndio maana, hata leo mabaki mengi ya kihistoria ya Kilwa yapo Kilwa Kisiwani.

Hivyo basi, hata leo tunapozungumzia Kilwa Sultanate ambayo ilishamiri kuanzia karne ya 10 hadi ya 15 ni hii iliyokuwa imeasisiwa na Ali ibn al-Hassan Shirazi. Na ndio hii Sultanate ndiyo hatimae ilikuwa kubwa kuliko zote kwenye Pwani ya Mashariki ya Afrika kuanzia Somalia ya leo (Mogadishu being former giant) to Sofala.

Walipokuja Wareno sasa, hawa ndio walibomoa hii Sultanate na hawa ndio walikuwa wanatumia mabavu zaidi kuliko kutafuta namna ya kuwa-win wenyeji. Ingawaje ni kweli Wareno walipoingia kwa mara ya kwanza walijaribu kuwashawishi some subjects to Kilwa Sultanate wawe upande wao ili hatimae (Wareno) waweze kuhodhi ukanda wa biashara kutoka Sofala hadi Bara Hindi, walipoona hawaelewi Wareno wakaamua kutumia nguvu.
 
Apollo

Apollo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2011
Messages
4,902
Points
2,000
Apollo

Apollo

JF-Expert Member
Joined May 26, 2011
4,902 2,000
Hapa mada ni Kiarabu, English kajifundishe kwanza.
Good morning Faiza

Nilipendelea nikupatie ushahidi kuwa huwezi kusema lugha fulani ni lugha fulani kwa sababu tu ya kuwepo kwa maneno. Lugha kuchukua maneno ya lugha nyingine ni sawa na kila lugha duniani inatohoa maneno. Hata kingereza neno "English" asili yake sio kingereza ni kijerumani.

Ila kutazama idadi ya maneno ni udhaifu wa kutofahamu linguistics. Huwezi kulinganisha lugha kwa idadi ya usawa wa maneno tu. Kuna sarufi. Sarufi ni study kuu katika kuangalia mzizi wa lugha. Kiswahili hakina sarufi na structure ya kiarabu, ipo kibantu zaidi. Maandishi pia sio sawa, hata kwa asilimia 0.1%. Structure ya vitenzi, roots za vitenzi, mfumo wa sentensi n.k

Kiswahili kitabaki kuwa ni kibantu kwa kiasi kikubwa. Hata kulipotohoa maneno bado hakijabadili muundo wake wa kisarufi.Language family ya Kiswahili ni Niger-Congo (including Bantu ethnics). Kama hutaki utafiti uliopo andika facts zako kutetea.

I am done.
 
Asante sana kwa kushare ndugu. Ninafahamu vyema. Kuna interesting story na masimulizi ya Kilwa lakini naona ile site imesahaulika kabisa ukiitembelea.
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
64,760
Points
2,000
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
64,760 2,000
Good morning Faiza

Nilipendelea nikupatie ushahidi kuwa huwezi kusema lugha fulani ni lugha fulani kwa sababu tu ya kuwepo kwa maneno. Lugha kuchukua maneno ya lugha nyingine ni sawa na kila lugha duniani inatohoa maneno. Hata kingereza neno "English" asili yake sio kingereza ni kijerumani.

Ila kutazama idadi ya maneno ni udhaifu wa kutofahamu linguistics. Huwezi kulinganisha lugha kwa idadi ya usawa wa maneno tu. Kuna sarufi. Sarufi ni study kuu katika kuangalia mzizi wa lugha. Kiswahili hakina sarufi na structure ya kiarabu, ipo kibantu zaidi. Maandishi pia sio sawa, hata kwa asilimia 0.1%. Structure ya vitenzi, roots za vitenzi, mfumo wa sentensi n.k

Kiswahili kitabaki kuwa ni kibantu kwa kiasi kikubwa. Hata kulipotohoa maneno bado hakijabadili muundo wake wa kisarufi.Language family ya Kiswahili ni Niger-Congo (including Bantu ethnics). Kama hutaki utafiti uliopo andika facts zako kutetea.

I am done.
Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa...

Hayo yote tuliyajadili sana humu humu JF, wala mada ya hapa haihusiani na hayo, pitia uzi huu: Huwezi na Hutoweza Kuongea / Kuandika Kiswahili fasaha...
 
B

blessings

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Messages
5,915
Points
2,000
B

blessings

JF-Expert Member
Joined Jul 9, 2012
5,915 2,000
Wakati ndo huu BAKWATA tusaidieni
 
Forum statistics

Threads 1,315,687
Members 505,292
Posts 31,867,021
Top