Umuhimu wa Kiarabu kuwa lugha Rasmi Tanzania

O

oyaya karanga

Member
Joined
Dec 27, 2015
Messages
75
Points
125
O

oyaya karanga

Member
Joined Dec 27, 2015
75 125
Wow. Asante sana. Nimekuwa impressed sana umeweza kumfahamu Chittick.

Ndio chanzo cha Old history ya sasa na wengi kwenye huu mjadala wanafuata mawazo yake. Alikuwa archaeologist wa kwanza kufanya tafiti East Afrika juu ya Arabs. Alikuwa na mitazamo kuwa Swahili civilization ilianzishwa na Arabs lakini alibadili mitazamo yake baada ya kugundua East Africa ilikwepo Centralized kabla ya Middle East kuja. Alikuwa very racist archaeologist. Lakini hapo miaka ya 1970 watu kama Mark Hotton akampinga kwa kugundua mabaki ya magofu ya kale kabla ya kilwa yakiwa na Neolithic ya miaka ya kale sana. Prof Chami anayefahamika duniani kwa uchunguzi wa Swahili Coast na kupinga hoja za Chittick. Chittick naye pia alibadili mtazamo wake 1982.

Kulikwepo na mgogoro mkubwa sana kutokana na ubaguzi. Lakini hivi sasa haupo tena na kila mtafiti wa Coast anatambua Africans walikuwa kiini cha Centralized State ya Africa.

Nitajaribu kufuata mawazo yako.
Pia kuhusu mji Wa Raphta anaouongelea mchangiaji mmoja humu. Huo mji umegunduliwa mwaka huu na senior mmoja hapo UDSM na mtaalam mwingine kutoka nje. However huo mji uko pwani ya Tanzania sio mbali sana na pwani documentary ipo ktk archive za BBC ukiisarch YouTube utaipata na huu mji umezungumziwa sana na huyo Archaeologist Wa hapo Udsm ameutafuta kwa muda sana kulingana na documents nilizosoma. Nakumbuka school tour tulienda bagamoyo back in secondary tulikuta kuna sehemu zimechimbwa mashimo tulivyouliza tuliambiwa kuna utafiti Wa kuutafuta huo mji.
 
Apollo

Apollo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2011
Messages
4,902
Points
2,000
Apollo

Apollo

JF-Expert Member
Joined May 26, 2011
4,902 2,000
Pia kuhusu mji Wa Raphta anaouongelea mchangiaji mmoja humu. Huo mji umegunduliwa mwaka huu na senior mmoja hapo UDSM na mtaalam mwingine kutoka nje. However huo mji uko pwani ya Tanzania sio mbali sana na pwani documentary ipo ktk archive za BBC ukiisarch YouTube utaipata na huu mji umezungumziwa sana na huyo Archaeologist Wa hapo Udsm ameutafuta kwa muda sana kulingana na documents nilizosoma. Nakumbuka school tour tulienda bagamoyo back in secondary tulikuta kuna sehemu zimechimbwa mashimo tulivyouliza tuliambiwa kuna utafiti Wa kuutafuta huo mji.
Ni Professor Felix Chami. Ni mwalimu na mchunguzi wa Swahili Coast. Ni guru mzuri katika kufundisha. Nitampa salama zako. Ni mwalimu wangu.
 
O

oyaya karanga

Member
Joined
Dec 27, 2015
Messages
75
Points
125
O

oyaya karanga

Member
Joined Dec 27, 2015
75 125
Ni Professor Felix Chami. Ni mwalimu na mchunguzi wa Swahili Coast. Ni guru mzuri katika kufundisha. Nitampa salama zako. Ni mwalimu wangu.
Aisee msalimie sana hivi bado yupo udsm na je anaendelea kufundisha level gani ?

Pia muulize ilikuwaje yy yupo hapa tz kila siku mpaka mzungu amsaidie while ule huo mji ulikuwa unaoneka ukiwa kwa juu kulingana na maelezo yao ktk hiyo documentary. Pia kwanini dept yao ya archaeology bado iko chini sana ktk kudahili na ktk ukufunzi wakati wao ma seniors wapo wengi tuu hapo eg Mbilinyi etc .
Hii inapelekea mpaka tunakuwa na mikingano kama hii koz elimu hii wengi hatuna.
 
Samcezar

Samcezar

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Messages
3,351
Points
2,000
Samcezar

Samcezar

JF-Expert Member
Joined May 18, 2014
3,351 2,000
Vipi, inauma?
Ukweli ndio huuma......ila kubezwa na taarifa za uvumi au kupakaziwa katika imani hiyo hukera kabisa......

Kama hapa umenikera na leo usije maana hata ukija nina hasira sitakugegeda vizuri......
 
Samcezar

Samcezar

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Messages
3,351
Points
2,000
Samcezar

Samcezar

JF-Expert Member
Joined May 18, 2014
3,351 2,000
Hao ni Waafrika kama wewe na mimi au nalo unabisha? Nikupe ushahidi?
Hauna ushahidi wowote hebu tupishe hapa..........waafrika tangu lini wakawa weupe.......hao ni Arabs .....na mataifa yao huitwa ya kiarabu......ndio maana ukichukua kenya ...tanzania .....uganda.... kongo.....rwanda hizi hitwa ni nchi za kiafrika....ila nchi walizolowea waarabu huitwa nchi za kiarabu
 
Apollo

Apollo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2011
Messages
4,902
Points
2,000
Apollo

Apollo

JF-Expert Member
Joined May 26, 2011
4,902 2,000
Aisee msalimie sana hivi bado yupo udsm na je anaendelea kufundisha level gani ?

Pia muulize ilikuwaje yy yupo hapa tz kila siku mpaka mzungu amsaidie while ule huo mji ulikuwa unaoneka ukiwa kwa juu kulingana na maelezo yao ktk hiyo documentary. Pia kwanini dept yao ya archaeology bado iko chini sana ktk kudahili na ktk ukufunzi wakati wao ma seniors wapo wengi tuu hapo eg Mbilinyi etc .
Hii inapelekea mpaka tunakuwa na mikingano kama hii koz elimu hii wengi hatuna.
Yupo UDSM Department ya Archaeology and Heritage. Anafundisha postgraduates wa Masters na phD.

Mkuu, wapo wakali wengi wa Archaeology. Nadhani UDSM wanashika nafasi tano bora za Institution kubwa ya Archaeology Africa.

Pia Felix ni mwanzilishi wa idea ya Raphta. Hata waliokuja kuitafuta walikuja kutokana na kusoma kazi zake.

Tatizo hii course haipo level za primary na sekondary. History inapewa kipaumbele kuliko archaeology.
 
Samcezar

Samcezar

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Messages
3,351
Points
2,000
Samcezar

Samcezar

JF-Expert Member
Joined May 18, 2014
3,351 2,000
Tatizo huwa hamsomi au mnachosoma hamkielewi. Soma uone Wazungu tena wakanisani walivyowafanya babu zako...

How Violent Was American Slavery? Colonial Slave Codes

The South Carolina legislature pioneered these laws in the 1690s, mandating that for the first offense, male and female slaves would be branded with an “R” on the cheek. For a second offense, female slaves would have an ear cut off, while male slaves would be castrated.
Hili andiko linaonekana kabisa ni wewe ndio ulikaa chini ukaliandika ili uje litumia kuleta utetezi wako usio na mbele wala nyuma........bure kabisa na maandiko yako halafu ukitaka kujua haya maandiko yako ni ya kinafiki huwa unatumia maandiko yenye kulenga kuchafua kanisa as if kanisa lilikuwa responsible na utumwa........

Ila kwa kutetea mahawara wako wa kiarabu utadhani unalipwa...........nenda sasa uarabuni uone uchafu watakaokufanyia ndipo utajua ulivamia kambi......
 
Mlaleo

Mlaleo

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Messages
10,897
Points
2,000
Mlaleo

Mlaleo

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2011
10,897 2,000
Nasimamia kwenye hoja yangu; asilimia 50% ya mameno ya Kiswahili yana asli ya Kiarabu. Nimesema ukitaka kuthibitisha hilo tafuta kamusi ya Kiswahili yenye maelezo ya asili ya maneno. Nimefanya utafiti kwa kutumia kamusi na matokeo ni kama nilivyoyatoa hapa. Na kumbuka utafiti unapingwa kwa utafiti.

Kwa nini niorodheshe maneno mia? Hiyo ndio 50% ya maneno yote ya Kiswahili?

Ukirudi uje na matokeo yako ya utafiti.
Ushafeli so habari yako na hoja zako hazina Mashiko kiswahili sio 50% ya kiarabu sababu Mwarabu akiongea mswahili hawezi kumuelewa na vile vile Mswahili akiongea Mwarabu hawezi kumuelewa Mswahili... ni same na lugha zingine tu.. cha zaidi unatafuta sifa tu... na ukiendeleza uzush wako nitaweka video clip ya mwarabu akiongea kama utaambulia kitu hiyo 50% yako ya kubuni kama faiza foxy
 
chongchung

chongchung

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Messages
3,732
Points
2,000
chongchung

chongchung

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2013
3,732 2,000
Siyo kama wahindi?maana huna jipya kuhusu Uarabu kuwa ni lugha tu na si rangi.
Hao watoto sio wahindi hao ni waafrika wambulu wahabesh wasudan wasomali wanyarwanda wapo hivyo.
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
64,760
Points
2,000
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
64,760 2,000
TV
Hao watoto sio wahindi hao ni waafrika wambulu wahabesh wasudan wasomali wanyarwanda wapo hivyo.
Alaa kumbe Uafrika siyo rangi.

Uelewe kuwa Uarabu si rangi pia. Uarabu ni lugha na Kiswahili kimesheheni Uarabu, kina ustaarabu mkubwa sana.

Au wewe hujastaarabika?
 
A

andreakalima

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Messages
3,210
Points
2,000
A

andreakalima

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2012
3,210 2,000
haiwezekani kina PONDA MALI jifunze kiingereza kwanza.
 
afrodenzi

afrodenzi

Platinum Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
18,188
Points
2,000
afrodenzi

afrodenzi

Platinum Member
Joined Nov 1, 2010
18,188 2,000
Hahahaha,aisee hii Kali
Nahisi mtoa post ahajaangalia tathmini
Ni kwamba Kiarabu ni Lugha ya pili kuongewa na idadi kubwa ya watu duniani.

Sasa sijamuelewa anamaana gani kutaka irasimishwe mpaka mashuleni.
Wakati sie wenye Waislam hii ni lugha yetu ya kiimani,lakini kwenye laki mwenye kujua ni Mmoja tu.Wengine ni kubabia babia tu.

Na tukitoka hapo tutasema Kichina,maana wachina ni wadau wetu miaka mingi sana.

Sasa suala la lugha ni la mtu binafsi kujibidiisha ili kwendana na soko la ajira then hayo mengine yatajipanga yenyewe humo humo.

Wakenya Kiingereza ni kama lugha mama,lakini hawathubutu kuongeza lugha nyingine,badala yake ndio wamekimbilia kwenye Lugha za makabla moaka kuna Redio zinatanga Kikamba tuu,au kijaluo kwenda mbele.
Mkuu nikusahihishe kidogo Kiarabu ni lugha ya tano na sio ya pili .
1. Chinese
2. Spanish
3. English
4. Hindi
5. Arabic


The 10 Most Spoken Languages in the World
 
C

clasi

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2013
Messages
240
Points
250
C

clasi

JF-Expert Member
Joined May 5, 2013
240 250
Kwa sasa tujikite kwenye kuboresha UFUNDISHAJI wa lugha ya kiingereza maana tuliopita kwenye mfumo wa shule/vyuo vya umma humu nchini tunaaibika kwenye interview/makazini.
 

Forum statistics

Threads 1,315,686
Members 505,292
Posts 31,866,917
Top