Umri wa Humphrey Polepole

Ameshafikia umri wa kikatiba wa kugombea urais
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Sio kweli.
Leo nilikuwa na mwalimu wake wa F3, mwalimu ana miaka 52
Labda mwl wake wa form 3 alikuwa mdogo kwake? zamani shule zilikuwa hazingatii umri, mimi nimesoma na mabraza yaani nina miaka 16 form one, wenyewe wana miaka 20
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ