Umewahi kula papa? Mara ya mwisho lini?

Ma mkwe, sasa toka kipindi kile mpaka leo imekatika miezi mingapi, wakati kikawaida mwanaume haipaswi kuzidisha wiki walau mara 1, bila kugusanisha nyaya.. tena zingatia neno walau
Ba mkwe jikaze.
Na hapo bado.huko mbele utakiona mara Moja Kwa mwaka๐Ÿ˜„
 
Wale tunaokula kwa wauza supu ya pweza nao ni papa??
Bahari ina makitu ya ajabu sana, kuna mwamba buguruni anauza hayo mazagazaga ya baharini mengine yana sura za ajabu kwelikweli.
 
Umenichanganya aisee dah yaani papa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ