Umewahi kuibiwa gari? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umewahi kuibiwa gari?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by TheChoji, Jan 7, 2012.

 1. TheChoji

  TheChoji JF-Expert Member

  #1
  Jan 7, 2012
  Joined: Apr 14, 2009
  Messages: 672
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 60
  Kuna jamaa alitoka arusha kwenda nairobi na gari yake. Sasa akawa amepark sehemu ili akaulizie hoteli na aliporudi akakuta gari haipo! Katika kuchanganyikiwa jamaa akampigia simu rafiki yake wa arusha na kumuuliza 'aise, hivi jana tulipoondoka pale bar, uliondoka na gari yangu eh?' vipi, we/jamaa yako amewahi kuibiwa gari? Reaction yako /yake ilikuwaje?
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Jan 7, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Nimewahi kuibiwa kipedo, nililia nikazimia mara 6.
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Jan 7, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  gari sina
  ila niliibiwa simu, nikalazwa siku 2 na drip juu
   
 4. TheChoji

  TheChoji JF-Expert Member

  #4
  Jan 7, 2012
  Joined: Apr 14, 2009
  Messages: 672
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 60
  Mi kuna siku nilipaki kagari kangu sehemu, akaja jamaa akapaki pembeni ila kwa upande niliokua natokea, gari yangu ikawa haionekani. Yani kama haipo vile. Nakuambia miguu yote iliishiwa nguvu, jasho mwili mzima..
   
 5. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #5
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,659
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Si mchezo..nadhani ndani ya simu kulikuwa na vitu vere vere confidential...
   
 6. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #6
  Jan 7, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,914
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  halafu ikawaje?
   
 7. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #7
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,132
  Likes Received: 2,157
  Trophy Points: 280
  Nilishamuona Mdosi aliyeibiwa Gari lake alichanganyikiwa na kuanza kulitafuta mifukoni na uvunguni mwa magari mengine...

  Me ilishanitokea kusahau nilipo park gari langu airport na pia Kuna siku niliendesha Honda nikaipark BP nikaingia supermarket then nikatoka na kuiacha pale nikaenda job hadi jioni ndio nikaanza kuitafuta then nikakumbuka nilipoiacha oi..
   
 8. Kireka1980

  Kireka1980 JF-Expert Member

  #8
  Jan 7, 2012
  Joined: Mar 18, 2008
  Messages: 304
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ndio matatizo ya kutembelea gari yenye 3rd part insurance, huwi na amani
   
 9. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #9
  Jan 7, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  nilivyozimia sijazinduka hadi leo.
   
 10. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #10
  Jan 7, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Aisay sijawahi lakini kuna mdogo wangu aliwahi kunichemsha.....Niliwacha gari yangu iko on, nikaenda kwenye super market moja.

  Time narudi nikaona gari halipo kijasho chembamba kikanza kunitoka mara jasho la mvua.

  Kumbe dogo ananicheck tu pembeni niikatoa simu ile kutaka kuwapigia simu police...Akatokeza brother vipi nikajua ni yeye tu kisha chemsha.

  Aisay huyu dogo wangu matata sana.
   
 11. Tuyuku

  Tuyuku JF-Expert Member

  #11
  Jan 7, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 3,149
  Likes Received: 1,405
  Trophy Points: 280
  nishaporwa gari chini ya mtutu wa bunduki. Nilichanganyikiwa sana. Namshukuru Mungu nimepata jingine lkn siwezi sahau tukio hilo.
   
 12. Tz-guy

  Tz-guy JF-Expert Member

  #12
  Jan 7, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mimi niliiba.
   
 13. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #13
  Jan 7, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  yaani, alinimaliza kabisa.
  Simu ya kitochi inatunza hadi scanned docs


   
 14. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #14
  Jan 7, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Bora wewe uliingiza faida
  eeeeh! Wakati unaiba unakuwa unajisijiaje?
   
 15. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #15
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,659
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Haahhahaa..na ina antivirus ya kutosha!...Na hizi simu za kitochi za siku hizi unaweza uka-install ubuntu..
  Mtu akiiona ataidharau kumbe ina vitu vya kutosha.. Pole kwa kweli..
   
 16. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #16
  Jan 7, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,869
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  hahaha neno kuntuuu!
   
 17. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #17
  Jan 7, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Jamaa yangu aliibiwa gari ya 20M alikosa usingizi kwa mda mrefu sana
   
 18. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #18
  Jan 7, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,060
  Likes Received: 6,509
  Trophy Points: 280
  poleni wote. aliyeiba ndo zaidi.
   
 19. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #19
  Jan 7, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  ​sio swala dogo unaweza toa haja ndogo na kubwa kwa wakati mmoja
   
 20. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #20
  Jan 7, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Haya mambo ya kuibiwa haya sio mazuri kbs,
  Niliwahi kuibiwa simu enzi hiyo ya simems ile ya kidole gumba nikiwa natoka likizo narudi shule pale iringa stend,
  Nilichanganyikwa nililia mpaka nafika bwenin usiku kucha sikulala kesho yake mapema nikapanda basi kurudi dar,
  Nimefika huku watu wananishangaa niliingia hm kwa anko nakilio cha haja,wakanihurumia ila akaninunuliwa nyingine nikarudi shule,
  Huwa wananikumbushaga na kunicheka sana!!
   
Loading...