Umevaaje

Umevaaje

Hii inanikumbusha kuna siku kwenye daladala kuna jamaa nasmikia anaongea na simu kwa sauti eti anamuuliza mpenzi wake,
"nipo kwenye daladala ndo narudi nyumbani vipi umepika nini?"
"Unafanya nini?"
"Umevaa chupi rangi gani?"


Kwa kweli alipofika kwenye rangi ya kufuli hakuna aliyeweza kujizuia kwa sisi tuliyekuwa karibu nae, wote tulianza kucheka halafu kama tuliambiana tulicheka wote kwa pamoja.

Kuna watu makauzu sana

hahahha umbea tu watu tuache kulea kisa tuko kwenye daladala na wambea kama nyie
hapa mahaba yanasisimua mpaka tuanmuwaza beibi kila muda
chezea mtoto anayochezea "maiki" nini?
nyie kaeni hvyo hvyo na aibu zenu wakat wenzenu hawana kinyaa kwann tusiwawaze kila muda
 
Baby utajenga nyumba lini...lini utaolewaaa...utapandishiwa mshahara lini? ...likizo utachukua lini..MIe Christmas ntaenda kula uchaggani Je wewe?

Haya ndo maswali uyapendayo????????? naulizaaaaaaaaa
 
Baby utajenga nyumba lini...lini utaolewaaa...utapandishiwa mshahara lini? ...likizo utachukua lini..MIe Christmas ntaenda kula uchaggani Je wewe?

Haya ndo maswali uyapendayo????????? naulizaaaaaaaaa

hehehhe halaf eti anamuita mpenz wake?hehehhe maninaaaaaaaaaa
kua romantic ww mpenz uchafu oooh
 
Price umevaaje leo dear???

hahahha muulize hilo swali akiwa kitandani usiku
akiwa kavaa pichuu au kile kinguo kitamu cha kulalia na joto hili la darisalamuuuuuuuu unajua kinguo gani mwanawani hahahha then ask her hey baby umevaaje?
 
Sasa hasira zako zinatusaidia nini sisi? Si upeleke kwa huyo aliyekupigia?

Mtu umepigiwa, tena unajua kabisa atakuuliza nini! Kakupigia umepokea, amekuuliza umemjibu, halafu unakuja kujifanya eti umekasirika.

Hahaha kwahyo unataka kutuambia anatuzuga tu au alilipenda hlo swali?
 
Hayajakukuta haya?

huwa nikishaona anaanza kuuliza maswali ya kiuduanzi siimpi chance nakata simu au kumwambia sipendi haya mazungumzo

kuna watu akili zao wanawaza mapenzi tuu bila kujua wew ni mtu wa aina gani na kujua kipi unapenda na kuchukia
 
Price makubwa haya lol..!!

Mpaka mwanaume anakupigia simu na kukuuliza umevaaje ina maana kuna mazingira fulani mshatengeneza ya kutamaniana.Sidhani kama kuna mwanaume ambaye huna mazoea naye kivile akurupuke usiku na kuuliza umevaa nini.

Naunga mkono hoja
 
Last edited by a moderator:
hahahha umbea tu watu tuache kulea kisa tuko kwenye daladala na wambea kama nyie
hapa mahaba yanasisimua mpaka tuanmuwaza beibi kila muda
chezea mtoto anayochezea "maiki" nini?
nyie kaeni hvyo hvyo na aibu zenu wakat wenzenu hawana kinyaa kwann tusiwawaze kila muda
gwijiwewe

Tamba mkuu sisi wenye wivu tujinyonge, tukifanya mchezo tutaula wa chuya
 
ukishaona mtu anakuliza maswali hayo ujue penzi jipya na ameishiwa maneno yaani sera
 
Tena nasema sipendi na sitaki msione nawanyamazia na kukata simu sipendi sema tu siwezi kutukana. Unapiga simu usiku badala ya kuongea mambo ya maana unataka kujua nimevaaje, he! itakusaidia nini wewe, am i your Girlfriend?

Hata nisipovaa haikusaidii kitu, na hata nikivaa overall usiku haikusaidii. Baadhi ya wanaume mpoje, yani hadi ujue Msichana au Mwanamke usiku anavaa nini?

Ongeeni mambo ya msingi bwana kama huna its better usipige simu
Hapo mbona km umeeleza kuanzia katikati..maana naona kuna mwanzo mpk inafika kuulizana umevaa nini..!ila sidhani km wakinadada wengi mnajua mnachotaka forsure..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom