He! jamani poleni, ni French
Haaaa haaaaa haaaaa!!!
Pundamilia........ haya lala
Natumaini hakuna mwanamke anayependa kuulizwa swali hilo na mtu ambaye si mpenz wakeMbona nyie ya umekula,unafanya nini na uko na nani hatusemi wewe hilo moja tu la umevaaje linakukwaza then it was simple ni kumwambia tu muhusika kuwa hilo swali linakukwaza,kwa kulileta humu hata kama muhusika yuko humu inaonyesha ni kiasi gani haujiamini na hauwezi kumface mtu kumwambia linalokukera,unaweza ukawa umelileta humu kwa lengo la kuwaasa wenye tabia hiyo ukifikiri wanawake wote hawapendi kumbe wengine wanapenda kuulizwa hivyo.
CCM inahusika nini hapa we jadili mada
Kazi ipo!!
Umbuje hii nilikiwa sijaiona....am.perplexed kwa kweli