masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,792
- 16,756
masai dada leo umeniua mbavu zangu na hayo maswali ya section.c
mambo ya LETS TALK ABOUT LOVE
usiku mnene
Last edited by a moderator:
masai dada leo umeniua mbavu zangu na hayo maswali ya section.c
ahahahahahhhh, nimechekaje.....
Ntuzu alishaanza kuniuzi, bora nimekuja pande hii nimecheka, "eti isalimi'' lol!
ha ha ha ha ha ha
mwekundu na wewe umeanza tena swali hilo.... mi nitamwambia miss chagga oooohhhooooulivaaje kwani jana
hahaaaha upo mama
Jamani ushaanza kuongea..... Happy yesterday BirthdayPrice makubwa haya lol..!!
Mpaka mwanaume anakupigia simu na kukuuliza umevaaje ina maana kuna mazingira fulani mshatengeneza ya kutamaniana.Sidhani kama kuna mwanaume ambaye huna mazoea naye kivile akurupuke usiku na kuuliza umevaa nini.
ram I'm so sorry! I didn't mean to hurt you!
Ebu pls Niambie wewe Ni KE Au ME?
Cc: mwallu miss neddy
juste aller en enfer .... Je ne veux pas que