Umevaaje

Umevaaje

Hilo Ni Tatizo La Kudeal na Boys,Ndo Huwa wanauliza mambo ya kipuuzi
 
Tena nasema sipendi na sitaki msione nawanyamazia na kukata simu sipendi sema tu siwezi kutukana. Unapiga simu usiku badala ya kuongea mambo ya maana unataka kujua nimevaaje, he! itakusaidia nini wewe, am i your Girlfriend?

Hata nisipovaa haikusaidii kitu, na hata nikivaa overall usiku haikusaidii. Baadhi ya wanaume mpoje, yani hadi ujue Msichana au Mwanamke usiku anavaa nini?

Ongeeni mambo ya msingi bwana kama huna its better usipige simu

Safi sana mchane live,mtu umelala zako anakuamsha na msg eti umevaaje? Inakeraga jamani kwa wadada but Btw kwani now umevaaje Prince?
 
ram mambo? Umeamkaje Leo? Vp ram umevaaje Leo?
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: ram

Similar Discussions

Back
Top Bottom