Umevaaje

Umevaaje

Tena nasema sipendi na sitaki.... msione nawanyamazia na kukata simu... sipendi sema tu siwezi kutukana. Unapiga simu Usiku badala ya kuongea mambo ya maana unataka kujua nimevaaje....he! itakusaidia nini wewe... am i your Girlfriend!! Hata nisipovaa haikusaidii kitu, na hata nikivaa overall usiku haikusaidii...... Baadhi ya wanaume mpoje! yani hadi ujue Msichana au Mwanamke usiku anavaa nini.... ongeeni mambo ya msing bhana ka ma huna ts better usicall
Price umevaaje leo dear???
 
Last edited by a moderator:
Unakuta anatafuta stimu sasa lazima umstimulishe!
 
Nyie mbona mkituambia M-pesa na tigo pesa hatuchukii we hivo tu unachukia nini hapo
 
Na jibu zuri ukiulizwa hivo ni sijavaa kitu coz nimeiacha ipumue kwani mchana kutwa nimeibana kwa manguo kibao.
 
Mi mwenyewe silipendi hili swali km nini hata akiwa mpenzi wangu simjibu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom