Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,468
🤣🤣 Mwenyewe unatangazaImeisha hiyooooo. Utakula mahela halafu usitangaze![]()
🤣🤣 Mwenyewe unatangazaImeisha hiyooooo. Utakula mahela halafu usitangaze![]()
UnauswekaYaani hako ka nguo ni kukainua tu juu 😄 Antonnia
IrudiweUsiku mwema wapendwa.
Nikapumzishe fuvu langu sasa kwaleo inatosha🚶🏻♀️💤😴!
#Lubega
Eloi! eloi! Lamatabakithani!😁😁😁Piga chini nikuweke kwa Mpaji Mungu ukisema suu!! Anatupa pesa tutangulie Zanzibar tukamsubiri, yy amalize kuuza contena lake la miti ya xmass.
Kama mtu shida ni bando aseme mapema 😄😄sio saa sita usiku! Tushafunga vitabu vya siku😂😂😂😂😂 kwahiyo hata vocha kwishnei!!
Mpaji Mungu naomba uchukue udhamini wa kurusha vocha hapa kwenye huu uzi ili watu watupie mafoto bila stress za bundle
Rusha wakati ni sasaKama mtu shida ni bando aseme mapema 😄😄sio saa sita usiku! Tushafunga vitabu vya siku
Huyu ana watu wake wa kuwapa
Nasi tunasubiri utu blessHuyu ana watu wake wa kuwapa
Mimi siji kumuomba tena,ile ilikuwa attempt yangu ya mwisho.
Mimi ni retired member wa hizi nyuziNasi tunasubiri utu bless
Tuelekeze pa kukuonaMimi ni retired member wa hizi nyuzi
Nimezitumikia kwa uamimifu muda wote na sasa nimestaafu
Unanipa kesi jmn🤣Salama. Tayana-wog anayo
🤣🤣Mimi ni retired member wa hizi nyuzi
Nimezitumikia kwa uamimifu muda wote na sasa nimestaafu
Tajiri mkubwa km wewe unakosaje Kampani?Mambo mengi. Sema Moro sina kampani kabisaaa hiyo kesho. Au basi..
Mmh hili kumbato, veepeee jomoniiiAmen🙏🫂
Kwani uongo😀Unanipa kesi jmn🤣
Mmmh lekcharaaa, mbna sikukuona wee.Nilikuwa high table na JK




Mimi ni retired member wa hizi nyuzi
Nimezitumikia kwa uamimifu muda wote na sasa nimestaafu




Na page zilivyo nyingi