Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Km kurogwa ndio huku?!!!! Nasemaje!!! Baba ongeza dawa sio kwa raha hizi anazonipa mtoto wa ma mkwe [emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Nyie sijui nilichelewa wapi?! Simuachi mpk aniue [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna mabwakuuu.
 
Ni mpare au? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa DC ana sauti gan nzitoo?? Mxxxiiieeeew
😂😂😂 we kunguru acha kukariri aliyekwambia cantry ni DC nani?!!
Halafu hata me nilijua hivo, kumbe sio ni mtu mwingine tofautiiiiiii 🤣
Natamani nikufungulie code ila ‘em kwanza Subiri Christmas ipite 😜
 
[emoji23][emoji23][emoji23] we kunguru acha kukariri aliyekwambia cantry ni DC nani?!!
Halafu hata me nilijua hivo, kumbe sio ni mtu mwingine tofautiiiiiii [emoji1787]
Natamani nikufungulie code ila ‘em kwanza Subiri Christmas ipite [emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu sitaki kugombana na kantrii, ila namjua ni.......

Haya enjoy sasa
 
Jamani kesho nakuka Moro town. Kampani viwanja sivipati zaidi ya kuchoma nyama uhuru park. Njoo cost kwangu wee nikunipa kampani na sehemu nzuri tu
 
Ngoja nimwambie Tayana-wag jambo la kuwa bless kidogo[emoji1787][emoji2089]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu sitaki kugombana na kantrii, ila namjua ni.......

Haya enjoy sasa
😂😂😂😂 Me ndio nakwambia sio yy!!
We tatizo mbishi km shipa la babu miga 🤣🤣🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Me ndio nakwambia sio yy!!
We tatizo mbishi km shipa la babu miga [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shipa la babu miga uliwahi ona wapiii? Una kilanga weeyeee, ngoja aje.
 
Mwaga pesa tajiri, acha ubakhiriii.
Khaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo unamuibia Tayana-wog danga lake mchana kweupe?!! 🤣🤣🤣🤣
Coca juzi tyuu tumetoka kusuluhisha ndoa yako na Mjep leo umesahau km ulitaka kujirusha ghorofani ulivyoachwa?!! 😂😂😂
Tamaa hizo za pesa 🤣
 
Kwahiyo unamuibia Tayana-wog danga lake mchana kweupe?!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Coca juzi tyuu tumetoka kusuluhisha ndoa yako na Mjep leo umesahau km ulitaka kujirusha ghorofani ulivyoachwa?!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Tamaa hizo za pesa [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mie simuibii, mie si mpambe wa mama mtumishi jamani, wee si ndo mshika pochiii?

Uduguuu nampenda Mjep wangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom