Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 6,339
- 8,227
Tayana apo kuna kitu kimefichwa kwani bado kiswahili chetu wenyew hakitupi shida mwendo wa kudabhanguraTwende na wakati ndo nn mkuu 🤣🤣🤣
Tayana apo kuna kitu kimefichwa kwani bado kiswahili chetu wenyew hakitupi shida mwendo wa kudabhanguraTwende na wakati ndo nn mkuu 🤣🤣🤣
Wide yupo mwingi, huku kapumzika kidogo anatafuta school fees za watotoUyo wide nae simuoni
🤣🤣Tayana apo kuna kitu kimefichwa kwani bado kiswahili chetu wenyew hakitupi shida mwendo wa kudabhangura
Heshima kwa mtunzaji. SaluteSikujazi tayana ww wa moto na udugu wangu Antonia JF yenu hii![]()

inJanuary iyo apo mbn tutaelewa😄semanini Tayana mimi hanielewi ujue shemeji tikisa kiberiti tuone kama kimejaa au vipiWide yupo mwingi, huku kapumzika kidogo anatafuta school fees za watoto
KhaaaaaSikujazi tayana ww wa moto na udugu wangu Antonia JF yenu hii 😜
Natakiwa nianze kupata stress mapema maana vidonda vya tumbo hua tunajitakia wenyew🤣🤣🤣
Kiswahili kigumu mkuu...
Mambonya kiarabu utayaweza na unaogopa kudekiwa?Bibi kasema ataniozesha kwa waarabu wa dipii weldi


😂😂😂Heshima kwa mtunzaji. Salute![]()
🤣🤣🤣inJanuary iyo apo mbn tutaelewa😄semanini Tayana mimi hanielewi ujue shemeji tikisa kiberiti tuone kama kimejaa au vipi
Nimecheka 🤣Natakiwa nianze kupata stress mapema maana vidonda vya tumbo hua tunajitakia wenyew🤣
Hapotatizo ni hela. Ovaaa
Kiswahili kigumu mkuu...
😂😂😂😂 Shem kibunda unacho?inJanuary iyo apo mbn tutaelewa😄semanini Tayana mimi hanielewi ujue shemeji tikisa kiberiti tuone kama kimejaa au vipi
Nimecheka 🤣
🤣🤣🏃🏃 MaokotoHapotatizo ni hela. Ovaaa
Hizi mbio hazina usalama hata🤣🤣🏃🏃 Maokoto
😂😂😂 ngozi imefubaa hii, nyie wakaree buana anayekataa anye bogaKhaaaaa
🤣🤣🤣
Nikushinde ww mtt wa kikinga
Ngozi haina doa
KhaaaWe Cheka vipi nijichekeche maana pakupumzikia sinaga alafu upo tu naona😄
mtoto nadhifu sana, mwalimu wako wa mapozi lamomy anajua usimuache