Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Kama nawakera semeni😂😂
Screenshot_20231210_104609_WhatsApp.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Uza BMW yake asikutanie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alikopa FINCA, lipo huko km dhamana.
Yaan tuna maisha magumu balaaa, ndoa ni changamotooo, vimada na toleo jipya wame msaula vya kushato, leo nahangaika mie.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] na wale warembo wa kugugo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wote wake kawalala Hyatt na johari rotana.

Babu miga atakufa mwili unatetema km jenereta bovu la King max [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alikopa FINCA, lipo huko km dhamana.
Yaan tuna maisha magumu balaaa, ndoa ni changamotooo, vimada na toleo jipya wame msaula vya kushato, leo nahangaika mie.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😜 usinambie?!!
Pole udugu me ndiomana nilikuwa mkali ss hivi na me ningekuwa juu ya mawe na wale mashankupe waliokuwa wanamnyapia shem wako 😂😂😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom