Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,097
- 41,713
Shauri yako 🤣🤣🤣Hahahahaaa. Nimeuona mpango wao watuvuruge halafu wafurahi. Tumeshtukia move yao
Shauri yako 🤣🤣🤣Hahahahaaa. Nimeuona mpango wao watuvuruge halafu wafurahi. Tumeshtukia move yao
Nyie waongo mnanyapiana 😂😂😂Cocostic amesema ametumwa Tayana- wag ku watch tu
Kama tulivyopanga Pm huku tuwazuge tu[emoji1787][emoji1787] kesho suka zingine wa moyo amesema chagua na rafiki yako akasuke tutalipaShauri yako [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣Kama tulivyopanga Pm huku tuwazuge tu[emoji1787][emoji1787] kesho suka zingine wa moyo amesema chagua na rafiki yako akasuke tutalipa
Mi ni kama njiwa siwi na mataalaNyie waongo mnanyapiana [emoji23][emoji23][emoji23]
Piga chini nikuweke kwa Mpaji Mungu ukisema suu!! Anatupa pesa tutangulie Zanzibar tukamsubiri, yy amalize kuuza contena lake la miti ya xmass.Kwakweli huyu nitampiga chini huyu 🤣🤣
Miti ya xmass🤣🤣🙌🙌Piga chini nikuweke kwa Mpaji Mungu ukisema suu!! Anatupa pesa tutangulie Zanzibar tukamsubiri, yy amalize kuuza contena lake la miti ya xmass.
Kaweke mtindo tofauti. Hadi waombe poo. Na jioni unapost[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kesho saluni
Mtt unatunyoosha ,rangi imetulia😍Usiku mwema wapendwa.
Nikapumzishe fuvu langu sasa kwaleo inatosha🚶🏻♀️💤😴!
#Lubega
🥹🥹 Eee Jailah 🙆Boom💥
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tajiri una visa weyeeeNitatekwa. Sitaki kuamkia Gymkana mimi
haha hivi kuna vita ambayo ulishindwa au zote umetoka na tkoKati ya vita na amani, nachagua vita 😂😂😂
Nikupitie twende Gaza?!!
Mji mwemaIpi? Kibada, kisiwani, mwemberadu, darajani, msikiti wa wapemba au?
Nilikuwa nasubiri comment yako🥹🥹 Eee Jailah 🙆
Dr utavunja ndoa za watu
Mabwakuuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe unamponda mama mtumishi ili ujiweke [emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimeona unasema eti kifuniko kimezibuliwa na wahuni cha mama mtumishi!!
Na tajiri naye kahamisha majeshi kaanza kufolu lavu kwako [emoji12]
Nyie hili pic nalifatilia kwa makini hapa mjue?!!
Dr wa moto nilijua Jux 😂😂😂