Dr.adams faida
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 1,913
- 3,450
Fimbo ya mbali haiui nyoka ahaaa🥹🥹 Eee Jailah 🙆
Dr utavunja ndoa za watu
Fimbo ya mbali haiui nyoka ahaaa🥹🥹 Eee Jailah 🙆
Dr utavunja ndoa za watu
Mama unatupa usingiz
Sasa mwanamke avae hivi hiyo nguvu ya kwenda mtaani natoa wapi? Ni kushinda ndani tu nikiangalia uumbaji.
Uamuzi mzuri, saf sanaMimi ni retired member wa hizi nyuzi
Nimezitumikia kwa uamimifu muda wote na sasa nimestaafu
Kijana anataka kujiweka kashapokea pesa ya upatu anatafuta wa kutumia naye 😂😂😂😂
Kirikou anazingua halafu ni katoto kana fifteen 😂😂😂😂Thubutuuuu
Hebu mchrki huyo mkuu anataka Kwa kupumzikia 🤣
Majutraaa hea hea hia hia 😂😂😂
Naijua hiyo 😂😂😂uduguu huyu ni lekchara wangu.
Kanifundisha bhana
😂😂😂 Ww nakupa pasi unaacha kufunga, unaleta mapambio. Shauri yako utakosa wa kula naye faida za contena la miti ya xmassEloi! eloi! Lamatabakithani!😁😁😁
Boss mwaga vocha mida ndio hii 😜Kama mtu shida ni bando aseme mapema 😄😄sio saa sita usiku! Tushafunga vitabu vya siku
Mmeenda Vacay au hayanihusu nifunge domo langu!???View attachment 2841345🔥🔥🔥 sema ungetoa ka ❤️ hako ingekuw unyama zaidi🤣🤣💔

Kwani uko wapi dr?Fimbo ya mbali haiui nyoka ahaaa
Tayana-wog pacha ake Jux kaja kivingine huku 😂😂😂Mtoko siyo lazima utoke na gari sometime toka na baiskeli tu.
Dr naomba hiyo ring ya vidole vya mguu 😜
😉😀😀Tayana-wog pacha ake Jux kaja kivingine huku 😂😂😂
Msipovunja mahusiano yenu niiteni 🐕 nimekaa 👉