Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
Naomba kuona 😆Bwana leo maliasili ziko nje si unajua jumamosi? 😂😂
Hebu tupia kapicha kwenye huu uzi ujue sijakuona.
Naomba kuona 😆Bwana leo maliasili ziko nje si unajua jumamosi? 😂😂
Hebu tupia kapicha kwenye huu uzi ujue sijakuona.
Dr wewe! 😂😂😂Naomba kuona 😆
Hahaha,sawa sawa,mtumishi
Katiza bas nkuone kabla wavimbamacho hawajajaHumu mpooo???!!!
Anza wewe kwanza yako sijawahi bahatika kuiona!Katiza bas nkuone kabla wavimbamacho hawajaja
Shida mi Huku nateteaga nyeto na napromote KATAA NDOA sasa mkiniona mkampelekea taarifa baba mchungaji 😁😁ataniremove kwenye privilege nazopata, anyway saa saba nakatiza ila sura hutaonaAnza wewe kwanza yako sijawahi bahatika kuiona!
Haya do the needful nawait hapa 🙇
Nilikumic mnoo dearNapenda mwanamke anaejua Class yake na anaisimamia.
Nimempenda huyo mdada




Tupo,tumepumzisha mwili rafiki.Humu mpooo???!!!
Wanaswampaa wapii cjui.Uzi umepoa jamani Lamomy na udugu zako mmenda wapi?



