Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Aliweka picha ya maeneo akauliza nani yupo karibu nikaona yes fursa. Alinikatalia maombi yangu akasema kutembea na mimi ni sawa na kushuka cheo kmmk. Nilichokosea nilienda na Toyota Raum na yeye akaja na Mercedes C class (ya bwana wake). Ila simchukii ni mtu poa sana.

Napenda mwanamke anaejua Class yake na anaisimamia.

Nimempenda huyo mdada
 
Furahidei
 

Attachments

  • Screenshot_20231122-004341_Instagram.jpg
    Screenshot_20231122-004341_Instagram.jpg
    319.7 KB · Views: 18
MUHIMU```
[emoji654]Kuna siku marafiki tutatengana[emoji174] hatutaonana tena wala kuwasiliana.[emoji181]

[emoji654]Wengine umri utakuwa umeenda[emoji803] sana wamekuwa wazee na wengine hawatakuwepo duniani.[emoji22][emoji27]

[emoji654]Tutakumbuka[emoji144] tulivyokuwa tunachat[emoji181] tutakumbuka tulivyokuwa tunapendana [emoji173]na kushirikiana[emoji133] tutakumbuka tulivyokuwa vijana wenye nguvu[emoji123] tukikimbizana[emoji126] huku na kule lkn hatutaweza kuwa pmj tena.[emoji174]

[emoji654]Labda bado tutakuwa na picha [emoji185]za marafik zetu tutaziangalia na kukumbuka mengi.[emoji144][emoji187]

[emoji654]Watoto na wajukuu zetu watatuuliza
"Ni kina nani hawa[emoji117][emoji130]?"

[emoji654]Kwa maskitiko tutawaambia "Ni wapendwa wetu tulioshirikiana na kupendana nao" [emoji173][emoji173][emoji173][emoji182]

[emoji654]Huzuni zitatufunika maana hakutakuwa na njia ya kuonana tena zaidi ya kukumbuka enzi zetu![emoji131]

[emoji654]Huu ni wakati wa kufurahi na marafiki [emoji127] [emoji126][emoji125] [emoji132] [emoji130] na kutendeana mema ili tusije kujuta baadae.[emoji144]

[emoji654]Huu ni wakati wa kupendana na kila aliye karibu na wewe.[emoji173][emoji173]

[emoji654]Onyesha upendo [emoji173] na moyo[emoji173] wa furaha kwa kila unaechat nae kwa sasa.[emoji179][emoji182]

[emoji654]Tunza kumbukumbu za yale mazuri unayotendewa na marafiki zako[emoji134]

[emoji654]Tunza picha zake kwa bidii[emoji186][emoji185]

[emoji654]Kama unakubaliana na mimi wakumbushe marafiki zako wote kuwa upendo [emoji173]ni kitu cha thamani sana!![emoji173][emoji173][emoji173][emoji173]

[emoji654] Mkumbushe kila unayechati naye kuwa hataendelea kuchat na wewe milele hivyo autumie huu wakati [emoji559] vizuri. [emoji182]

[emoji654]Kama na mimi ni mmojawapo nikumbushe kukuthamini na kukutendea mema [emoji175][emoji182][emoji254][emoji173][emoji253][emoji177][emoji179][emoji176][emoji257][emoji255][emoji253][emoji259]
IMG-20231201-WA0075.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom