binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 13,108
- 34,402
🤣🤣🤣🤣 Dah! Basi nimeamini ule uzi uliuona na unapita kimya kimya! Nimeamini 🤦🏻♀️Niwapatie muda huu au baadae? Et Mrs naniiiii...?
🤣🤣🤣🤣 Dah! Basi nimeamini ule uzi uliuona na unapita kimya kimya! Nimeamini 🤦🏻♀️Niwapatie muda huu au baadae? Et Mrs naniiiii...?
Nilitamani kuchangia kwa kueleza tukio langu ila moyo ukasita...!🤣🤣🤣🤣 Dah! Basi nimeamini ule uzi uliuona na unapita kimya kimya! Nimeamini 🤦🏻♀️
🤣🤣🤣 umeanza!!!Ohoooh codw ziko wazi...
Wait nipitie files huenda Lamomy and binti kiziwi mlipita kwenye mboni za zulu mjini forest🤣.
Sawa ila kaka yako nilikuwa mtata kwa vile vijukuu vyenye ngozi za ajabu ajabu hapo Moro town🤣.🤣🤣🤣 umeanza!!!
Em potezea, tuendelee na mengineyo
Hata sijui km yake, me nilikuwa nawaza kwenda kuruka kwanja tyuuu!!! 🤣🤣🤣Halafu Lamomy, Mambo Club ilikuwa ya SabaSita baba yake Tunda au ulikuwa uzushi tu, huko ndiko nilikomuona Majizo kwa mara ya kwanza, akijiita DJ. Majizo for Shizo 😂😂😂
Wewe ulikuwa wa sabasaba au chamwino ndio vijana watukutu mlikuwa mnatokea kule 😂😂😂Sawa ila kaka yako nilikuwa mtata kwa vile vijukuu vya ngozi za ajabu ajabu hapo Moro town🤣.
Weka hata ukucha uibariki siku yetu JF maana hizi siku 3 siko sawa kiakili na mwili.
Wengi sana wapo humu sema wanazuga 😂😂😂🤣🤣🤣🤣 Dah! Basi nimeamini ule uzi uliuona na unapita kimya kimya! Nimeamini 🤦🏻♀️
Kwa kweli nami nimeshtuka, nikitupia tena nitaweka emoj usoni kama 100 hivi. 😂Wengi sana wapo humu sema wanazuga 😂😂😂
Na hizi picha me nimestop wasije kunijua bure
Wewe fulani kumbe ndio wewe?! 🤣🤣🤣Kwa kweli nami nimeshtuka, nikitupia tena niweka emoj usoni kama 100 hivi. 😂
Ila watoto wa Patel tulikuwa na hekaheka na tulikuwa tunajiona mastar wenyewe 🤣🤣🤣Hhhah umenichekesha sana.
ujue mimi nilikuwa nakaa hostel za nje, La miri.. 😂 hope umezijua. Hosteli zilikuwa na masista duu zile visket juu ya goti 😂
Nilikuwa naishi kigurunyembeWewe ulikuwa wa sabasaba au chamwino ndio vijana watukutu mlikuwa mnatokea kule 😂😂😂
Mwenzio nilikuwa napatana nao kweli gabacholi
Vijana social kuna shost angu ana historia napo hawezi pasahau.Ila watoto wa Patel tulikuwa na hekaheka na tulikuwa tunajiona mastar wenyewe 🤣🤣🤣
Hujamiss vijana social
😂😂😂 nitakuwa nakufahamu shenzy zako!!Nilikuwa naishi kigurunyembe
Utata ulikuwa wa mambo mengi,ulikuwa na wifi yako pale mwenye ngozi yao na mimi nilikuwa jeuri,kutaka kujionyesha pesa iko kama mkinga lamomy🤣.
Tuishie hapo
Weka picha kwanza nisafishe macho maana niko porini nimekuja kushangaa maliasili za Tanzania
Hiyo mechi nahisi nilikuwepo nitajie mwaka, unajua me kwenye michezo nilikuwa muhamasishaji wa kuzomea 😂😂😂😂Vijana social kuna shost angu ana historia napo hawezi pasahau.
Kuna siku tumeenda mpirani kigurunyembe tukafungwa vibaya, punde si punde nikasikia watoto wa Patel wanaimba ada zenu, viatu vyetu 😂😂😂 kwa maana Ada ya kigurunyembe ni bei ya kiatu ya watoto ww Patel, utoto raha, walioshiriki kuimba ule wimbo kama kwa sasa ni jobless wakatubu 😂😂😂😂
Usiendelee watakujua. 😂Hiyo mechi nahisi nilikuwepo nitajie mwaka, unajua me kwenye michezo nilikuwa muhamasishaji wa kuzomea 😂😂😂😂
PM utaikuta picha yako🤣..ila binti kiziwi ndio kabisa sina mashaka naye,100% macho yangu hayajakosea alipoweka photo japo alificha uso.Hiyo mechi nahisi nilikuwepo nitajie mwaka, unajua me kwenye michezo nilikuwa muhamasishaji wa kuzomea 😂😂😂😂
Na kweli watanijua 😂😂😂Usiendelee watakujua. 😂
Nimeishaaaaa! Kwisha! 😂PM utaikuta picha yako🤣..ila binti kiziwi ndio kabisa sina mashaka naye,100% macho yangu hayajakosea alipoweka photo japo alificha uso.
Me huwezi kunijua ng’o 😂😂😂PM utaikuta picha yako🤣..ila binti kiziwi ndio kabisa sina mashaka naye,100% macho yangu hayajakosea alipoweka photo japo alificha uso.
Zulu mjanja kashakujua anataka na me niweke foto apigie mstari aanze kunikumbushia matukio yangu 🤣🤣🤣Nimeishaaaaa! Kwisha! 😂