binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 13,104
- 34,396
Uzi umepoa jamani Lamomy na udugu zako mmenda wapi?
tuoneshe ulichovaaUzi umepoa jamani Lamony na udugu zako mmenda wapi?
Bwana leo maliasili ziko nje si unajua jumamosi? 😂😂tuoneshe ulichovaa
Bwana leo maliasili ziko njeBwana leo maliasili ziko nje si unajua jumamosi?
Hebu tupia kapicha kwenye huu uzi ujue sijakuona.

Kumekucha kumekucha 😂😂😂
Mfyuu!! Thubutuuu labda ya shem wa Kigoma 😂😂😂😂Leo naweka pichaa yangu live hapaaa.
Kaeni mkao wa kula.
Ndio nimeingia hapa emu binti kiziwi fanya jambo mforest mwenzangu 😂😂😂Uzi umepoa jamani Lamony na udugu zako mmenda wapi?
Hhhah umenichekesha sana.Ndio nimeingia hapa emu binti kiziwi fanya jambo mforest mwenzangu 😂😂😂
Hakuna zile ulizopiga zamani bwalo au mambo club?!! Au za choma milimani?
Bwana Mi ntakutumia inbobo, huu uzi umenifadhaisha sana, nimetupia picha tena nimeziba identity zangu zote bado kuna mtu ameniambia amenijua aloooh!binti kiziwi kumbe uliweka ukafuta. Rudisha nisafishe macho. Sijaona vitu vizur foe ages si unajua niko shambani huku
Ohoooh codw ziko wazi...Ndio nimeingia hapa emu binti kiziwi fanya jambo mforest mwenzangu 😂😂😂
Hakuna zile ulizopiga zamani bwalo au mambo club?!! Au za choma milimani?
Kuna uzi mahali tulikuwa tunajadili mambo ya Fore. Na Antonia kama sikosei.Ohoooh codw ziko wazi...
Wait nipitie files huenda Lamomy and binti kiziwi mlipita kwenye mboni za zulu mjini forest🤣.
Huyo anakupanikisha tu hakujui wala nini. Itakua anakupenda anshindwa kusema sasa ulivyoweka picha kapata wivu kwamba na wengine watafaidBwana Mi ntakutumia inbobo, huu uzi umenifadhaisha sana, nimetupia picha tena nimeziba identity zangu zote bado kuna mtu ameniambia amenijua aloooh!
Hata hivyo sijakata tamaa ngoja nikipiga picha.
Mabinti wa marehemu patel,niko na picha zenu 🤣.Kuna uzi mahali tulikuwa tunajadili mambo ya Fore. Na Antonia kama sikosei.
Halafu Lamomy, Mambo Club ilikuwa ya SabaSita baba yake Tunda au ulikuwa uzushi tu, huko ndiko nilikomuona Majizo kwa mara ya kwanza, akijiita DJ. Majizo for Shizo 😂😂😂Ndio nimeingia hapa emu binti kiziwi fanya jambo mforest mwenzangu 😂😂😂
Hakuna zile ulizopiga zamani bwalo au mambo club?!! Au za choma milimani?
😂😂😂😂Mabinti wa marehemu patel,niko na picha zenu 🤣.
Thread yoyote ya kufichua ID yangu napita kimyaaa.😅Kuna uzi mahali tulikuwa tunajadili mambo ya Fore. Na Antonia kama sikosei.
Ewaaaa! Subiri inbobo.Huyo anakupanikisha tu hakujui wala nini. Itakua anakupenda anshindwa kusema sasa ulivyoweka picha kapata wivu kwamba na wengine watafaid
PS. Nitumie sasa inbobo
Niwapatie muda huu au baadae? Et Mrs naniiiii...?😂😂😂😂