Umeumiza watu halafu unataka kuokoka bila kuwaomba msamaha uliowaumiza, hilo haliwezekani!

Tuache kuhukumiana mungu ni mwingi wa kusamehe binaadamu wana nongwa wengine hawajuu kusamehe hata wakiombwa msamaha, mtu kama ametubu toba ya kweli kwa mungu wake tuna amini amrsamehewa mungu hana roho mbaya kama yako ya kutopenda kusamehe siyo lazima mtu akufuate kuna mazingira mengine hayaruhusu hayo huwezi kuwafuata wote uliyowahibkuwakosea, hakuna binadamu aliyekamilika
 
Unajua maana ya kahaba?
Si kila kahaba ana lengo la kuiba mume, wengine hulazimishwa sio kwa hiari, Pale mwananyamala Kahaba analala na wanaume 20 kwa siku, hana habari yoyote ya kuiba mume wa mtu na wala hawajui wake zao wala hajui kama wana wake.
 
Siyo mungu tunaemwabu katika Kristo yesu,dhambi ni dhambi na yesu alisema yote yamkwisha yaan yote ni yote,ila wewe unatakiwa ufaate utaratibu wa kisheria namna ya kuondoa zambi ulizonazo, kiufupi ishu ya daudi ile ilikuwa ni adhabu na ilikuwa kwenye cheo yoyote atakaye tawala lazima alikuwa akutane nayo na baada ya kujulishwa kuhusu adhabu walitumia utaratibu WA kipindi kundoa adhabu iliyokuwepo na ikaondoka, so hata Leo watu wanatembelea adhabu weng tu bila kujua lakin ukisoma bible visuru ukaijua Sheria unaondoa zote,
 
Sasa mambo ya kusema mungu kasamehe kisha kapewa sadaka mi sijasema ,ila nachojua mungu ameweka utaratibu WA kufuta zambi haijalishi ni ya namna gani ,na huo utaratibu unamaamuzi wa kuufwata au ubaki ukiona mungu anaonea watu
 
Mbona umetumia muda mwingi kumpangia Mungu namna ya kusamehe wadhambi?😎
 
Mtoa uzi una akili sana. Nafikiri tunapaswa kujiongeza na sisi wenyew hapa. Nakazia hapa pia, Mfalme Daudi alimuua Uria ili Daudi aweze kumuoa mke Uria. Kilichotokea ili kulipa hyo dhambi mtoto wake wa kwanza aliyezaa na mke wa Uria alikufa ndo Daudi akapata msamaha wa Mungu.
 
Pointi iko ivi mwenye zambi kama hajaokoka imean haja repent anasamehewa dhambi zake bila kigezo chochote ,lakini ukiokoka kigezo chako cha kusamehewa kinakuwa Sawa na wew unavyosamea wengine
 
Kuna jamaa alikua jambazi akaokoka, na akasalimisha bunduki kanisani kilichofata polisi wakamdaka
 
You have much to learn bro
 
kin
kinyume chake, hiyo ni hukumu ya kibinadamu, ila kwa Mungu, anasamehe dhambi na hategemei mwanadamu asamehe kwanza ndio yeye akusamehe. wewe ukitenda dhambi, ni sahihi kwamba unatakiwa kutengeneza na wale uliowakosea, ila kufanya hivyo sio gharantee kwamba wasipokupokea hautasamehewa, anayesamehe ni Mungu, wanadamu hawajashikilia msamaha wako. anayesamehe na kusafisha ni Mungu tu.

hii ndio sababu Yesu alisema unapoenda kusali samehe wale waliokukosea, ili na Mungu akusamehe, kama hautawasamehe walokukosea na wewe hautasamehewa. ingelikuwa msamaha wangu umeshikiliwa mikononi mwa wanadamu, what if wasiponisamehe, ina maana Mungu hatakusamehe? wewe mwanadamu una nini au ni nani hasa hata ushikilie msamaha wa watu kwa Mungu pale wanapotubu wakati wewe mwenyewe umejaa madhaifu na dhambi tu?

dhambi yeyote hata kama ni ya kuua, unasamehewa. hata kama dhambi ni nyekundu kama damu, ukitubu kwa kumaanisha kuacha dhambi Mungu anakusamehe bure, tena wala hauhitaji kutoa pesa.
 
Kama uliyemkosea hayupo (ulimuua) je bible inasemaje ukitaka kutubu utasamehewa au mpaka nawe ufe ukamuombe huko msamaha?
 
"Mwenyezi Mungu anachukizwa mno na dhambi"


Mwenyezi Mungu ni mwepesi wa kusamehe

Mungu ni mwepesi sana wa kusamehe zile dhambi zinazomuhusu moja kwa moja mfano:
Hujaenda Msikitini/kanisani, hujatoa sadaka, nk lakini kama umetendea watu mabaya OMBA KWANZA MSAMAHA WAKUSAMEHE ndio urudi kwa Mungu; tofauti na hapo Msamaha wako kwa Mungu ni bahati nasibu.
Huwezi kuchukua shamba la mtu halafu uombe Mungu Msamaha? Huwezi kula mali ya masikini/ Mayatima halafu unaomba msamaha kwa Mungu bila kurudisha mali uliyo Iba?
Mtu anaiba Milioni mia halafu anatoa sadaka laki moja au hata Milioni moja....hiyo ni kumdhihaki Mungu kwa kumhonga mali ya WIZI!
Watu wengi wata angamia kwa kukosa maarifa!!!
 
Kama niliemnyang'anya shamba nilimuua nitampata wapi ili kumuomba msamaha?
Mtazamo wako unaangalia watu walio kafibu na wewe tu, na bado wako hai.
 
Pointi iko ivi mwenye zambi kama hajaokoka imean haja repent anasamehewa dhambi zake bila kigezo chochote ,lakini ukiokoka kigezo chako cha kusamehewa kinakuwa Sawa na wew unavyosamea wengine
Amen, Point nzito sana hii
 
watu wanachukulia vitu rahisi rahisi sana hawa, Mtu bado kashikilia mali alizodhulumu eti anajipeleka kanissani kuomba wokovu, Dah!!
 
Kama niliemnyang'anya shamba nilimuua nitampata wapi ili kumuomba msamaha?
Mtazamo wako unaangalia watu walio kafibu na wewe tu, na bado wako hai.
Tafuta mabaki yake / watoto ama ndugu wa damu walioumizwa na ulichomfanyia nduguye
 
Kwahiyo hata bashite akitaka kuokoka aende kumuomba lissu kwa kutaka kumtoa uhai
Iwe ni yeye au wewe au mimi kwa aliehusika kwa tukio lile hakuna shortcut ya kuokoka, hata uzunguke makanisa yote ni kujisumbua tu, ni mpaka uende kwa Lissu umuombe msamaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…