Kama umesoma shule ya bweni ya serikali basi hili ni jambo la kawaida sana utazoea na kupiga shule kwa furaha. Pale Tosamaganga tulikuwa tunaita Bondo, kuna jamaa aliapa kwamba akijapata ajira atapiga marufuku ugali na maharage nyumbani kwake eti kwa kuwa tulikuwa tunakula mchana na jioni chakula hicho hicho kwa mwaka mzima.
Asikudanganye mtu kikipikwa chakula hicho kwake sasa hivi anakula!!
Dah, aliyepitia Kigoma sec tuliita SUMU na cku nimerudi home likizo nakuta tena sumu cku ile ile niliyofika, kuita jina nililozoea kidogo ilete taharuki nyumbani
Dah, aliyepitia Kigoma sec tuliita SUMU na cku nimerudi home likizo nakuta tena sumu cku ile ile niliyofika, kuita jina nililozoea kidogo ilete taharuki nyumbani
Nakumbuka songea boys bondo kwa kwd mbele
Kama umesoma shule ya bweni ya serikali basi hili ni jambo la kawaida sana utazoea na kupiga shule kwa furaha. Pale Tosamaganga tulikuwa tunaita Bondo, kuna jamaa aliapa kwamba akijapata ajira atapiga marufuku ugali na maharage nyumbani kwake eti kwa kuwa tulikuwa tunakula mchana na jioni chakula hicho hicho kwa mwaka mzima.
Asikudanganye mtu kikipikwa chakula hicho kwake sasa hivi anakula!!
Makumira High School tulikuwa tunaikwepa hii hitu Tunaenda Canteen kwa Mama Kadogoo au kwa Rich au kwa Solo Sahani ya Wali Sh Mia tu...
Duuh maisha ya shule ni ya shule tu never compered na mahali kwingine
Busima wengi walitokea sehemu za nyamatare, kibini na ile mitaa karibu na kambi ya jwtz ya zamani maeneo ya sda church, ama kweli tumetoka mbali sana.
Mkuu ujakosea na wengine walitokea maeneo ya Kigera umepita pale nini
Pale Mazengo ilikuwa kawaida kwenye maharage kukutana na top layer ya utando wa mafuta mekundu na wale wadudu kenye mchuzi wa maharage. Nimemkumbuka Head Master Mkoba na second wake Mkwizu, duh long time sana!
Mkuu nimepitia hapo miaka flani kipindi hicho ikiwa bado ni co-education, nakumbuka ule mlima ulioko nyuma ya madarasa ukiwa kama unataka kuteremka kuelekea shule ya msingi nyamatare, kuna vijana walikua wanafanya vituko sana mle.