Mwandwanga
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 3,057
- 1,572
Umenikumbusha nilipokua Ilboru dah noma sana
Kitemangoooooo (R.I.P)
Umenikumbusha nilipokua Ilboru dah noma sana
Kama umesoma shule ya bweni ya serikali basi hili ni jambo la kawaida sana utazoea na kupiga shule kwa furaha. Pale Tosamaganga tulikuwa tunaita Bondo, kuna jamaa aliapa kwamba akijapata ajira atapiga marufuku ugali na maharage nyumbani kwake eti kwa kuwa tulikuwa tunakula mchana na jioni chakula hicho hicho kwa mwaka mzima.
Asikudanganye mtu kikipikwa chakula hicho kwake sasa hivi anakula!!
mzumbe sekondari.mirambo hse, yr 86-88 .
nakumbia SHYCOM enzi za baba karo na mzee mwerangi....
Bora SHYCOM kulikuwa na wali usiku...wengine ni ugali usiku na mchana...
Nakumbuka songea boys bondo kwa kwd mbele
Hapo ukiwa form one lazima uwe dreva wa kiranja kumbebea msosi ili uweze kushiba
Kitemangoooooo (R.I.P)
Mkuu ulipita mwaka gan?Kitemangoooooo (R.I.P)
Kibiti boys high school lilikua linaitwa. Dongo
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Makumira High School tulikuwa tunaikwepa hii hitu Tunaenda Canteen kwa Mama Kadogoo au kwa Rich au kwa Solo Sahani ya Wali Sh Mia tu...