Umesoma shule ya bweni wewe?

Umesoma shule ya bweni wewe?

Mazengo tukiita "gima" da umenikumbusha mbali sana.

Mkuu we tulikuwa wote, kipindi sahdaat ndio kiranja wa msosi afu Mwigulu Hp dah yale maisha noma sana.

Midume 1000 mnapanga line kwa kuungana yani mmoja akiyumba tu mstari wote mnayumba kufata ugali bwaloni!

Bila kusahau "Meal cards" bila hiyo huli hata iweje kweli tumetoka mbali
 
vunjo sec ilikuwa ikiitwa nguna ilikuwa tunaweka kwenye mabakuli makubwa yanaitwa manta! hahahah ya kale ni dhahabu...
 
Ashira tulikuwa tunanunua mapalachichi soko mjinga ndo uchanganye kwenye maharage
 
Lyamungo Second enzi izooo, Nguna la kutosha, maharage yamesimama kama yapo kwenye gwaride basi tunaweka dagaa na mafuta kidogoo... Asubuhi uji aka FONGO... Siezi sahau haya maisha
 
attachment.php
tosamaganga Enzi za mkangwa
Mzumbe sekondari.Mirambo Hse, yr 86-88 .
 
Dah! Kitu Bondo kwa mzee Mjamaica wale wa Diet walikula makande bila maharage au walikuwa wana kazi ya kupukuchua maganda kwanza...
 
Daaah! Menikumbusha mbali sana, enzi hizo nipo Galanos boys! Kuna sehem moja hiv tulikuwa tunapenda sana kulia, tukapa name "THE GROUND OF CHALLENGE" coz baada ya kupiga hiyo kitu tulikuwa tuna-challengiana sana!
Mbaya zaid kwenye hilo harage kitu "kerosine" ilikuwa haikosekani, ikifika siku ya kande utafkir hizo kande zimepikiwa Mount Meru Petrol Station zinavyonukia hilo futa!
Kuna thread humu inaelezea sababu ya Kerosine kwenye vyakula vya Wanafunzi ilikuwa ni kwa ajili ya kuua Nyege... so haswa kwa Mademu....
 
Kama umesoma shule ya bweni ya serikali basi hili ni jambo la kawaida sana utazoea na kupiga shule kwa furaha. Pale Tosamaganga tulikuwa tunaita Bondo, kuna jamaa aliapa kwamba akijapata ajira atapiga marufuku ugali na maharage nyumbani kwake eti kwa kuwa tulikuwa tunakula mchana na jioni chakula hicho hicho kwa mwaka mzima.

Asikudanganye mtu kikipikwa chakula hicho kwake sasa hivi anakula!!

Kama hela zimemtembelea ni sawa! lakini kama ni ajira za serikali zinazoweza kwisha kesho, nina wasiwasi
 
Kama umesoma shule ya bweni ya serikali basi hili ni jambo la kawaida sana utazoea na kupiga shule kwa furaha. Pale Tosamaganga tulikuwa tunaita Bondo, kuna jamaa aliapa kwamba akijapata ajira atapiga marufuku ugali na maharage nyumbani kwake eti kwa kuwa tulikuwa tunakula mchana na jioni chakula hicho hicho kwa mwaka mzima.

Asikudanganye mtu kikipikwa chakula hicho kwake sasa hivi anakula!!

Bagamoyo sec wakati huo, siku ya wali form one na form five kwenda dinining ni kupoteza muda! ni lazima umwonge wing leader hela kidogo ili uteuliwe kuwa table leader!
 
nimechekajeeee,,,

by the way mambo wachumbaz!!
long time no see.
 
Back
Top Bottom