Sidhani kama boomslang ni green mamba... Angekugonga green mamba uwezekano wa wewe kuwa hapa unaenjoy jf ungekuwa mdogo sana,,,,, most probably parapanda ingeshalia kitambo...
Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
Snake park panaitwaKuna shamba moja la nyoka pale a town duuuu nilikaa DKK moja tu nikaenda mbali kuwasubiria tulioenda nao
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
[emoji41] AiseeDah...minofu yake ni mitamu sana kuliko hata ya mamba...hasa ukimla kwa dona mix 😀😀😀
Huyo aliyemshika huyo kifutu ni wewe mkuu
[emoji3][emoji3]Nikimuona huyo kifutu hata muda wa kunichekea hataupata,, maana nitatimua vumbi la hatari..
Aisee inasikitisha sanaMimi nyoka sikai naye, hao panya bora wajazane humo ndani nitakomaa nao kwa namna nyingine. Kuna nyoka wakorofi mkuu, hizi stori za kusimuliana na kufundishana katika taasisi za elimu hazifanani sana na uhalisia.
Kipindi cha vita ya Nduli Idd Amin Dadah kuna familia moja ya jirani ilikuwa imelala usiku kwenye handaki, baba, mama & watoto 11. Black mamba katika pitapita zake akadondokea humo, alitoa dozi moja moja kwa kila mmoja na kuwaua 12. Alipona mmoja tu! Kila nikiyatizama yale makaburi yalivyopangana nasema kwa herufi kubwa,,, SHIKAMOO BLACK MAMBA...
Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikweli kabisa au unamshika mzima unamweka ili akung'ate kibamia akishakung'ata tu kibamia kinaanza kukua ndani ya masaa matatu tu
Ila huyu black mamba noma mwananguAcheni utani jaman kuna huyu mdudu anaitwa blackmamba, jina lake la kiswahili nimelisahau!!
Huyu ndiye the deadliest snake!! Ana speed sana, na akianza kukukimbiza usizani utapiga hatua 5 kabla hajakusambaratisha!!
Omba usikutane nae maana hutavusha dakika 15 kabla hujafa!!
Na anauwezo wa kujiinua/kusimama sasa ukijichanganya unaondolewa duniani kwa lazima!!Ila huyu black mamba noma mwanangu
Huyu mdudu hatari sanaNa anauwezo wa kujiinua/kusimama sasa ukijichanganya unaondolewa duniani kwa lazima!!
Kwetu wapo wengi sana tunawaita nondo, huyo nyoka ni mwehu. Kijijini kwetu amewahi kuwauma watu wawili, mmoja alipona lakini wa pili alikufa. Wazee huwa wanasimilia wanasema ipo dawa na kiafrika. Hiyo dawa aliyeumwa anabebwa mabegani, aliyembeba aliyeumwa ndiye anae kuny hiyo dawa, lakini aliye umwa ndiye anatatapikaa na hatimaye kupona.Acheni utani jaman kuna huyu mdudu anaitwa blackmamba, jina lake la kiswahili nimelisahau!!
Huyu ndiye the deadliest snake!! Japo ukikutana nae kabla hajakupeleka kwa kuzimu kwanza anakupa warning kwamba ondoka kwenye anga zake, ukijidai unajua kuua nyoka imekula kwako!!!
Ana speed sana, na akianza kukukimbiza usizani utapiga hatua 5 kabla hajaku sambaratisha!!
Yaani hatari yake ni kubwa kuliko ya ccm!!
Omba usikutane nae maana hutavusha dakika 15 kabla hujafa!!
Mbona ana rangi nzuri hivyo ? Nani kam paint???
Hapana, labda nimekosea jina lakini unawajua wale nyoka wa rangi ya kijani wanaopenda sana kuwa juu ya miti e.g. miembe, mikuyu, mibuyu nk.(Ila kama unaishi mjini ni shida kuwajua) Niambie wanaitwaje. Sio kweli kwamba kila ukiumwa na nyoka utakufa. Mie nipo na nilipewa dawa za mitishamba na kupona kabisa.
Sumu yake inashambulia mishipa ya fahamu i.e ni neurotoxin na kwa hiyo madhara yake ni unaparalyse na kushindwa kupumua.
ni mimi mkuu, kuna tatizo?Huyo aliyemshika huyo kifutu ni wewe mkuu
Hujamkaribisha kwenye menu ya leo; Hahaha.ni mimi mkuu, kuna tatizo?