Umemmis nani hapa Jf?

Umemmis nani hapa Jf?

Hahahahaaa hata mimi nimefanikiwa kutoka ila nimenasa kwa Kipipi ila hata mi nimekubali kuwekwa kwenye chupa na Kipipi na naenjoy sana aisee yan hata sihangaiki kujitoa

We ata kwenye hiyo chupa sizani hakuna hata sangoma atakayekuweza we subiri huruma ya MUNGU
 
Last edited by a moderator:
Me nimemmiss Washawasha kwa kauli yake ya nalog off, mwita25 na faiza foxy kule jukwaa la stress kwa roho zao za ukauzu kuitetea thithiem...! Teh!

Na wewe nimekumiss na story zako za mkuu wa chuo aliekuwa 'anakuomba k ' lol
 
AshaDii upo wapi mama iam humbled...
pamoja sana

Zion D, nipo dearest... Najitahidi kubalance mambo kuipa JF priority pia but nachemka... Lol.

Nimewamiss Gaga (nime mmiss mno!), Michelle, Asprin, Lizzy, The Finest, afrodenzi, Faiza Foxy, Mwita25, queenkami, 3D., jouneGwalu, Dena Amsi, sweetlady, Keren_Happuch, Shantel, klorokwini, Steve Dii, Mwali... Na wengine wengi sana... Hawa ndio nimekumbuka sasa hivi at par..

Zion D naamini kuwa ni mzima wa afya...
 
Mhhh,umenimiss nami leo nikaingia JF....lol...duh,hao uliowamiss nami nimewamii jamani....sijui wako wapi??
 
hahaha! Michelle mie nimekuona missing imeisha... sasa tuunge forces za kupiga kelele warudi haraka iwezekanavyo! Hivi hawajui ni dhambi kama mtu ana nung'nika kuku miss alafu hutokezi... Lol.

Happy to see you dear... :dance:
 
Lol....Happy to see you too dear... sijui ni majukumu gani wameyapata wote kwa pamoja wakawa busy?? Mi niko tayari tuunge forces ili waweza kurudi....!!
 
Mie naona makusudi! Hivi ninavyosema tupige kelele na kufanya fujo you think am kidding? Lol :majani7: Hauoni hapo chini Finest amekuja baada ya kuogopa kelele? I feel really glad kumuona pia...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom