AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,189
- 18,113
:target: Umeniona swagger zangu lakini? You have been warned!
Hahahaha...sawa basi niko busy na uchaguzi wa Marekani namsaidia Obama ashinde maana Mitt Romney amemkalia kooni vibaya sana:target: Umeniona swagger zangu lakini? You have been warned!
Hahahahaha....Kwanza nimenuna hadi uje nyumbani haiwezekani tunakuja kusalimiana hapa kama strangers yaani na ukija nyumbani ni wiki ndio unarudi....hahaha...hajambo ila sasa ndio uje anasema atavunja undugu na wewe very soon halafu huyu AshaDii dawa yake naijua tuTumekusubiri umekuja...ha ha ha...Chezea Ashadii sasa,kaita umeitika muone kwanza....vipi wifi hajambo na wewe kaka yangu unaendelaje? naona furaha inatuweka mbali....LOL
Hahahaha...sawa basi niko busy na uchaguzi wa Marekani namsaidia Obama ashinde maana Mitt Romney amemkalia kooni vibaya sana
Narudi narudi narudi, nimekusikia,naenda mdogomdogo naona sooo much changes,ngoja namie nichangie nipate statusZion D, nipo dearest... Najitahidi kubalance mambo kuipa JF priority pia but nachemka... Lol.
Nimewamiss Gaga (nime mmiss mno!), Michelle, Asprin, Lizzy, The Finest, afrodenzi, Faiza Foxy, Mwita25, queenkami, 3D., jouneGwalu, Dena Amsi, sweetlady, Keren_Happuch, Shantel, klorokwini, Steve Dii, Mwali... Na wengine wengi sana... Hawa ndio nimekumbuka sasa hivi at par..
Zion D naamini kuwa ni mzima wa afya...
Hahahahaha....Kwanza nimenuna hadi uje nyumbani haiwezekani tunakuja kusalimiana hapa kama strangers yaani na ukija nyumbani ni wiki ndio unarudi....hahaha...hajambo ila sasa ndio uje anasema atavunja undugu na wewe very soon halafu huyu AshaDii dawa yake naijua tu
Kiongozi we mbayaaaaa yaaani we mabaayaaaaa
Miss you too ASHA.....
Ila jamani mbona nipo?? Ok nimekuelewa..... Baada ya kuichek hiyo list hapo juu sure nimekumbuka those days ukiwapata watu hao kwa jukwaa basi haki ya Mungu hutoki.....
Halafu nina story maalumu ya huyo twin wake afrodenzi anaitwa Lizzy.
Ntakunong'oneza lol
Sijui kwanini siku hazirudi nyuma mweh.
Pia nimemkumbuka sana MTM na Nyambala.
Thread nzuri sana Sabry001, thanks kwa wazo nadhani tutapatana wengi
Narudi narudi narudi, nimekusikia,naenda mdogomdogo naona sooo much changes,ngoja namie nichangie nipate status
Was complaining sabb hatujagongana siku nyingi kwenye threads... Lol. Happy to see u.
Ngoja nitafute sred kule jukwaa la burudani nina hamu na music saiv, then ntakukaribisha tuzoze!
NIME JI MISS MWENYEWE SIKUHIZI SIPO ACTIVE JF 24/7 NIPO TWITTER. Mx