Umemmis nani hapa Jf?

Umemmis nani hapa Jf?

Me nimemmiss Washawasha kwa kauli yake ya nalog off, mwita25 na faiza foxy kule jukwaa la stress kwa roho zao za ukauzu kuitetea thithiem...! Teh!

hakuna kiumbe namiss kama Malaria Sugu, nakumbuka udini wake na ubaguzi wake.
RIP MM!!
 
Zion D, nipo dearest... Najitahidi kubalance mambo kuipa JF priority pia but nachemka... Lol.

Nimewamiss Gaga (nime mmiss mno!), Michelle, Asprin, Lizzy, The Finest, afrodenzi, Faiza Foxy, Mwita25, queenkami, 3D., jouneGwalu, Dena Amsi, sweetlady, Keren_Happuch, Shantel, klorokwini, Steve Dii, Mwali... Na wengine wengi sana... Hawa ndio nimekumbuka sasa hivi at par..

Zion D naamini kuwa ni mzima wa afya...

Thanx madam...na mimi nimekumisije dear wangu...ubusy kila ukisema unapungua ndio kwanzaa unazidi.
 
mutanisamehe kiukweli kutoka ndani ya uvungu wa moyo wangu nimemmis Elizabeth dominic
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom