Umemmis nani hapa Jf?

Umemmis nani hapa Jf?

Frankly writing namkumbuka sana Madame B. Kuwa kwake hapa jamvini huleta changamoto sana. Sijui nifanyeje arudi mapema Preta amekuwa bize naye hata mwandiko wake hapa jamvini ni wa kuvizia. Au ndiyo yale mambo yale nini? JF haizuiliki wape makavu!
 
Last edited by a moderator:

kaka Arushaone Madame B alikuwa na msiba mzito sana,tumshukuru kaka Nicas Mtei alituwakilisha vema,tuko pamoja sana
 
Last edited by a moderator:
my one n only hubby Asprin, shem Kaizer gfsonwin wake wenzangu cacico na Yummy

kidumu wa zamani Erickb52, mgombea mwenza wa kale Amyner.... Bishanga Buzi langu la enzi zileeeeeeeeeeeeeeee kabla sijaposwa na Asprin (msisitizo Asprin ndo alivunja kufuli) The secretary

na wengineo.......
VIGELEGELE NDIYO FURAHA ***** OOHOOOOO
UTAMU WA NGOMA NI KUSHANGILIA EH OOOHOOO
KUTOKEA EH..... KWA ODM EH
KWA WINGI OH ***** OOOHOOO KWA WINGIII
NJOO UONE MAMAEEE FURAHA OH..........

I love you too my darling and dear wifey BADILI TABIA.

MMMMMMMWWWWWAAAAAAHHH!!!!:mwaaah:

:A S 100::A S 100::A S 100::A S 100:
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom