Umemmis nani hapa Jf?

Umemmis nani hapa Jf?

i miss nyumba kubwa,
ila hasa hasa nimemmiss Kiduttorwolk hahahhahahhha mzee wa usalama wa taifa mama anataka nimzalie mjukuu
 
Last edited by a moderator:
Acha wanisaidie watakavyo, ila hii makitu sitaki msaada!! Mi bado sijatosheka

attachment.php
[/QUOTE Asprin nionee huruma mbavu zangu mie mwalimu wako lol!
 
Last edited by a moderator:
Nimewamisii wafwatawooo
lizzy
smile
dudu.....(malizia)
na piaaa golden mpoleeeeee
 
Nimemmiss klorokwini jamani, yoyote atakayenionea kloro amwambie namtafuta. Lol.
Asprin usaidie kwa hilo... (umeelewa eeh?)

Kusoma hujui hata picha nayo imekushinda?

BTW unafikiri mimi sina wivu hata kama uliyemmisi ni mai fellow tablet? Hebu nimisigi namimi japo kiduchu kikojoleo changu kistuke kidogo. Khaa!
 
Last edited by a moderator:
Kusoma hujui hata picha nayo imekushinda?

BTW unafikiri mimi sina wivu hata kama uliyemmisi ni mai fellow tablet? Hebu nimisigi namimi japo kiduchu kikojoleo changu kistuke kidogo. Khaa!

hahahahahahaha! We babu sio mzima!! Picha sioni labda unifumbue macho. Mi staki kukumiss, kikojoleo chako kikistuka kitaleta shida.
 
Kusoma hujui hata picha nayo imekushinda?

BTW unafikiri mimi sina wivu hata kama uliyemmisi ni mai fellow tablet? Hebu nimisigi namimi japo kiduchu kikojoleo changu kistuke kidogo. Khaa!

Asprin sikuwezi kwa multiple tu.
 
nipo mumie Catherine Bishanga hashikiki katoroka kwenye chupa
Hahahahaaa hata mimi nimefanikiwa kutoka ila nimenasa kwa Kipipi ila hata mi nimekubali kuwekwa kwenye chupa na Kipipi na naenjoy sana aisee yan hata sihangaiki kujitoa
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom