Umemdondokea nani humu chumbani

Umemdondokea nani humu chumbani

Ntuzu my husband umepita kipande hii??? I luv u...only u. Achana na hayo maandishi ya jitu lililohack account yangu. I luv u mume wangu

Ili jitu ni nani loh Ntuzu mchepuko nipo hapa ile hela nataka
 
Last edited by a moderator:
Venue na mda tafadhali, ladies first...!
Lakini hiyo venue iwe na sehemu ya kupumzika coz after work ntakuwa nimechoka sana..lol

Bagamoyo....si utapenda kupumzika hadi jumapili?
 
teeeh! I'm a match maker...! Kama huamini muulize miss chagga atakuambia, tatizo lake pesa mbele kama tai, naona jamaa alishindwa..! Tembosa kama upo anga hizi tupiamo macho kidogo..!
Lakini kama Nyamgluu anajing'ata, i'll definitely take over the race..! ha ha ha!
Ohoooo, mshenga tena! Mweh kweli hizi siku za mwisho!! Jamani jamani patachimbika humu! Wewe Eli79 si ulikua unamwonaga benda18 kila siku humu kabla mimi kuanzaga, kumbe ulikua unashangilia wakati unayako pembeni. Mimi nina wasiwasi na Mapi tu hapa. Sijui how in deep kaingia. Lakini sio tatizo we ngoja nimtoe binti kwa date moja tu ndio huyo mapi atakua X na kuwekewa V badala ya P!!

YOU HEEAARRRDD!!!
 
Last edited by a moderator:
hiyo ya kuandika Mr and Mrs nafikiri haijalishi mko wangapi na ndio maana kuna vyeti vya ndoa na kuna ile sehemu ya aina ya ndoa- mke mmoja; wake wengi au huwenda ikawa ya wake wengi. As long as ulitick mke mmoja- hata wapange msururu bado haki yako itakuwa yako kama mke halali wa marehemu oh hayati.

Hahaaa nimepoa bestito
 
Dah, niliona hii mkuu, uliona na alivyojibiwa? Kweli fimbo ya mbali... lakini we ngoja tu! Lakini ofcourse nilitegemea hili, kwa mwanamke kiwango kama brenda18 for sure hutegemei ukajibebea tu bila some blood and sweat, au vipi Eli79 ? She is worthy to fight for, even to start a full war!!

How can I know my favourite colour is tarquoise if I don't have choices of other colour...I can only make choices when I have varieties
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom