asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,039
Aiseeeeh!
mi naona waweke kwanza current salary sleep na bank statement hapa kwanza ndo ntajua hupi nadondoka
Mkuu unaogea maji ya hindi mara ngapi kwa mwezi? Naona kila mdada anakupenda..!
Dah, niliona hii mkuu, uliona na alivyojibiwa? Kweli fimbo ya mbali... lakini we ngoja tu! Lakini ofcourse nilitegemea hili, kwa mwanamke kiwango kama brenda18 for sure hutegemei ukajibebea tu bila some blood and sweat, au vipi Eli79 ? She is worthy to fight for, even to start a full war!!Cc Nyamgluu..teh!
Kuna rimkaka nimeridondokea rakini harinijibu PM yangu. Jaman wewe rikaka nijibu basi.... Asipojibu ndani ya masaa 24 nabandika ID yake hapa!