Kuna rimkaka nimeridondokea rakini harinijibu PM yangu. Jaman wewe rikaka nijibu basi.... Asipojibu ndani ya masaa 24 nabandika ID yake hapa!
:horn::horn::horn::horn::horn::horn:mate mate mate mate mate mate pleaaaaaaaaassssss...
Teh Twin ile ni id yangu nyingine
Miss chaga ananimaliza jamni duh
Waaoo!!!
miss neddymiss nanihiiiiiiii
Tatizo hapa unaweza ukalipenda dume kama Gilesi.
Kuwa muangalifu... miss chagga ni maliyangu...ingawa ni korofi sanaaaa! Ah
miss chagga ww,, hahahaa
nimekufanyaje?
Miss chagga tfdhl
kwahyo ww upo kipesa zaidi. Hutaki shida mwenyew
mimi kwa kweli kinachonishangaza ni shem wangu Asprin kila msichana anayekuja humu anamganda yeye sijui kwa nn au kwa sababu anatuliza maumivu kwa haraka na upesi? naomba kufahamishwa tafadhali.