Nyamgluu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2006
- 3,160
- 1,727
Hio "kwa bahati mbaya" hio ulioruhusu ndio kilio chako ndugu. Dah, ni kwa masikitiko nakunyang'anya mwanaume mwenzangu tonge lako, lakini huyu brenda18 ni mwanamke anayestahili the best in life. Nashukuru unaonyesha dalili za kumpenda na kumtakia furaha unlimited maishani, ni ishara nzuri ya upendo wa kweli. Nami nakuahidi Mapi, nitampa raha isiyo na kifani, na wala hutajutia maamuzi yako ya kumwachia brenda18 "kwa bahati mbaya" aje kuonja vilivyo bora duniani.Sina haja ya kujisifia...ila elewa hatoki tena na hata "kwa bahati mbaya" akitoka hapa ndiyo nyumbani lazima arudi.
Jamani maisha ndio haya, tuonyeshane upendo kama Mapi alivyoonyesha kwa brenda18, nami sitamuangusha mwanaume mwenzangu kwa sacrifice aliyofanya kwa ajili ya furaha ya mwanamke wa kweli. I will do justice to this woman!
It's a dirty jo, but somebody gotta do it! Case closed.
cc Eli79 Kaizer
Last edited by a moderator: