Umemdondokea nani humu chumbani

Umemdondokea nani humu chumbani

Naogopa kumtaja, nisijetolewa ngeu ya pua maana jamaa lake lina hasira, usipime. Aaaaagh K..........., me love you so much.
 
Salam zimfikie brenda18 popote pale alipo
 
Last edited by a moderator:
Nina wasi wasi wa kundondokea mtu humu mmu kwa kuwa mengine ni madume lakini majina/Id za majike !!!
 
Mkuu unaogea maji ya hindi mara ngapi kwa mwezi? Naona kila mdada anakupenda..!

Kaka, siunajua kazi ya asprin, nasikia wanatumia wakitaka kusafiri kwenda anga za mbali......just kidding.
 
Back
Top Bottom