huyu Lisa tumfanyie vetting kwanza bana......anaonekana anaweza kuharibu maadili ya chama.......
halafu huyu Lisa kama nishakuwaga na mchakato naye au ni mwingine?
baada ya kusema hayo naomba niseme kwamba nimeona 'uovu' wa Khantwe, miss chagga, brenda18 kwenye huu uzi wa mzee Mwiba. Mapi ndugu yangu twende kwenye magari hapa tunaibiwa
DEMBA usije hapa tafadhali, waambie na dada zako AshaDii na gfsonwin
Mkuu umesahau mimi na wewe hatudhuriani!!!!? Khaa!:angry:
hapa sijapaona :cool2:
Watu walishajengeana hadi majumba wakaachana sembuse mashairi. Hayo maneno tuuu hata kwenye kanga yapo! We endelea kuimba, nitakununulia zeze uje utuburudishe ufukweni pale escape au meriddean huku nimnywesha mtoto brenda18 coctail kwa mudomo!
Halafu Eli79 kaka ebu rudi team yangu kwanza. Tummalize Mapi halafu mimi nawewe tutaongea ndugu. Tumetoka mbali!
Mate nikitangaza nia hadharani najua ntapata upinzani mkali,twenzetu piemu.Mate unanipenda mimi au....?? Au unaongelea MATE
Mate nikitangaza nia hadharani najua ntapata upinzani mkali,twenzetu piemu.
Basi pambana pambana
Teh..mkono tu uliteleza mpenz usijal
brenda18 kwangu kafika, kama ni meli basi imetia nanga,Watu walishajengeana hadi majumba wakaachana sembuse mashairi. Hayo maneno tuuu hata kwenye kanga yapo! We endelea kuimba, nitakununulia zeze uje utuburudishe ufukweni pale escape au meriddean huku nimnywesha mtoto brenda18 coctail kwa mudomo!
Halafu Eli79 kaka ebu rudi team yangu kwanza. Tummalize Mapi halafu mimi nawewe tutaongea ndugu. Tumetoka mbali!