Umemdondokea nani humu chumbani

Umemdondokea nani humu chumbani

ewaaa, muda wote huu nimekuwa nikisubiri huo mwaliko, kumbe tena unaogopa kiu, mimi ninayo maji hutaona kiu kamwe, ila ndo ivo inabidi wa Samaria abaki huko na wa Galilaya abaki huko.

Karibu tena lisa.
Asprin kwa bandiko hili, mpe Lisa form haraka sana

Hivi lile banda lako la kuku limekwisha , maana nitakapotimiliwa niweze kupata pa kuingia , halafu na mpe taarifa mama kokushubya kuwa kuna mgenyi anatarajiwa kuja wakati wowote, anaitwa kokubanza from kanyigo village.
 
Hizi taarifa anazo muda mrefu, lile badna la kuku nili li upgrade limekuwa salef contained quarter ya maana kabisa! usitie shaka Lisa
 
Last edited by a moderator:
I will sing this beautiful song every moment ninapohema...
you are my everything, you are the world to me
without you am nothing, with you am something, together we are something
Eli79 pisha njia
Watu walishajengeana hadi majumba wakaachana sembuse mashairi. Hayo maneno tuuu hata kwenye kanga yapo! We endelea kuimba, nitakununulia zeze uje utuburudishe ufukweni pale escape au meriddean huku nimnywesha mtoto brenda18 coctail kwa mudomo!

Halafu Eli79 kaka ebu rudi team yangu kwanza. Tummalize Mapi halafu mimi nawewe tutaongea ndugu. Tumetoka mbali!
 
Last edited by a moderator:
ewaaa, muda wote huu nimekuwa nikisubiri huo mwaliko, kumbe tena unaogopa kiu, mimi ninayo maji hutaona kiu kamwe, ila ndo ivo inabidi wa Samaria abaki huko na wa Galilaya abaki huko.

Karibu tena lisa.
Asprin kwa bandiko hili, mpe Lisa form haraka sana

Popote ulipo lisa..... kam zis wei. Hakikisha unakuja without.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo unanisahau kila siku, kwa hiyo acha nibaki nakuita shem hivyo hivyo mpk utakapokumbuka kama ni muke ya mwana mdogo au mkubwa.
CC Kaizer
CC Tetra sijui uko wapi nimekumiss sana

Popote ulipo Kaizer huyu Tetra ni mmoja wetu au tuchakachue kura za Zanzibar?

Huyu Lisa naona anataka kukibeep chama na simu yake siemens C25.

Napata uchungu sana mimi wallah
 
Last edited by a moderator:
Watu walishajengeana hadi majumba wakaachana sembuse mashairi. Hayo maneno tuuu hata kwenye kanga yapo! We endelea kuimba, nitakununulia zeze uje utuburudishe ufukweni pale escape au meriddean huku nimnywesha mtoto brenda18 coctail kwa mudomo!

Halafu Eli79 kaka ebu rudi team yangu kwanza. Tummalize Mapi halafu mimi nawewe tutaongea ndugu. Tumetoka mbali!

Tuko pamoja kaka. Sijahama timu yako bado wala usitie shaka. Hadi kieleweke kwa brenda18
 
Last edited by a moderator:
Wewe kesho tukikutana kanisani nakusema kwa mchungaji wa mtaa...!

Chei Chei Eli79
Chei chei kaka...
Hahaha..mchungaji ataelewa tu. Kondoo wake kapotea kwa hiyo atatafuta njia ya kumrejesha..!
 
Last edited by a moderator:
Una akili kama Maria Magdalena..... haya njoo chapchap ukishavua vya ndani.

Halafu ukimaliza unajitumbuiza na wimbo wa kidogo kidogo ukinyata nyata wakati umeweka kataulo kadogo begani ukielekea bafuni Loh! hahahahahaha!!!!unanichekeshaga na vituko vyako tu.
 
Halafu ukimaliza unajitumbuiza na wimbo wa kidogo kidogo ukinyata nyata wakati umeweka kataulo kadogo begani ukielekea bafuni Loh! hahahahahaha!!!!unanichekeshaga na vituko vyako tu.

Hahahahahahahaah..... wewe bhana...

Siku hizi nina swaga mpya za "Hilo ni chaguo lakoooo"

Hapo lazima umimbike mimba dume wallah
 
afadhali mmoja umejitoa, ngoja huyu mwingine na vidate vyake vya danganya toto

mpenzi brenda18 Usidanganyike mama, unayajua mapenzi yangu juu yako, sipo tayari uende kwa mwingine....

Hahaha..a kiss for you..hapo hata sidanganyiki..anatapatapa tu hapa hana jipya
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom