sr bachelor
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,198
- 798
Nimekusoma tusije kukosa wote..ila hiyo kashaingia tunduni..naona juu hapo kashakupigia mstari..mkuu Asprin wee mmbayaa..Bachelor taratibu..... utaniharibia move yangu ujue....
Nimekusoma tusije kukosa wote..ila hiyo kashaingia tunduni..naona juu hapo kashakupigia mstari..mkuu Asprin wee mmbayaa..Bachelor taratibu..... utaniharibia move yangu ujue....
Shem una bahati..mmmh.!!!
Bachelor taratibu..... utaniharibia move yangu ujue....
Unajua mwaka ndio unamaliza huu ,itakuwa si busara ,yeah si unajua hapa humu mmu ndio kwenye mademu wa JF ambao wako tayari kabisa kushare our feelings na theirs ,sidhani kama wapo humu just kuandika na kusoma cmon ladies ,kwenye mkusanyiko kama huu si ajabu mambo mengine yakaota kama majani .
Na msizarau kama mwaka huu inawezekana kabisa bahati ya kubahatika ikakuangukia na kwenda jela kwa kufungwa pingu za maisha ,itikia ameeein ~ Amein.
Kama utani tu tuanzeni kiwongowongo umemwona nani humu bila ya kuona haya na ndugu yake aibu umeamua kumwaga ukweli kuwa anakupa wakati mgumu kuweza kufikiri kitu kingine zaidi yake ,tatizo analokusababishia kuuwa akili yako na kuona moyo wake ndio kaburi lako ,je kama kuna nafasi ndani ya moyo wake anaweza kukuweka .
kupigania kunaruhusiwah ! Mi ningeanza ila kwa vile ni mkuu wa kongamano itabidi niwe wa mwisho ,,mara itakuwa kweli ,lazima nihudhurie !
Umeambiwa mmoja. Wote utatuhudumiaje?
Nawapenda wote kama hutaki kunywa kunywa konyagi kupunguza maumivu....
Nawapenda wote kama hutaki kunywa kunywa konyagi kupunguza maumivu....
Whaaaat?!!!! Mafikizolo
Nimeamua kujitoa kwenye hii cheni asee hii movie yako kipengele changu kifutwe
unaelekea wapi mamaafacebook
Hahahaha ivi kumbe kulogana kupo bado
Alaa kumbe!! basi mimi nakutaka wewe mamaafacebook.
Nimedondokea nyumba kubwa
Me sikutaki
Kama humtaki yeye basi nitake Mimi please!!
Kama kweli unajiamini si uachie tuone. Ndege kama kweli wajo ukimwachia atarudi kakaaaa