Umemdondokea nani humu chumbani

Umemdondokea nani humu chumbani

Heheheheeee!
Unapewa kiss warizikaa! Hehehe mpe ingineeee brenda18 . Lakini leave the true goodies, for the man who can make that thing cry when it has no eyes, scream when it has no mouth. Tulia mtoto uonyeshwe maana ya kuwa mwanamke, busu hazinsumbui, busu tuu. Mie nita...

I'm a gentleman on the street but a gangsta in bed! RUUUDDEE BOY is my nick name, I'M COMING is my middle name.
Sababu utakua ukiniita "Nyamgluu I'm coming, Nyamg I'm coming, Nyaaaa comiiiinng, Nya coooooooo"

Usiku mzima, gadam binti sogea hapa!

Wapambe mupooo cc Eli79 Kaizer Khantwe Asprin miss chagga Mwiba


brenda18 mami umeona huyu asivyokufaa....angalia tu anayoyawaza...atakuchezea mwisho akukimbie
Tulia na mimi mwenye utulivu uone raha ya kupendwa

Cc. Eli79 Kaizer
 
Last edited by a moderator:
Hshahahaha..aaaaa! Nyamgluu nimekukubali kaka. Hahahahaaaa ngoja brenda18 apite hapa.. Ati I'M COMING is my middle name...hahahahaaa! The best laughter to embark on a great weekend..!

Afadhali ameonyesha his true colour mapema... brenda18 aamue mwenyewe.

Halafu pia waswahili wanasema "debe tupu haliachi kuvuma"
 
Last edited by a moderator:
Usiogope mami
Hayo ni maneno tu hata kwenye kanga yapo.....

Askutishe na kelele nyingi....

Mi sitaki kujibu ayasemayo kwa mdomo, maaana najua wajua kwamba najua
Atajueje wajua bila kukutana na ajuae?
Ili kupata uhakika kuwa wajua aje aone kuwa mimi sijui.
 
Usiogope mami
Hayo ni maneno tu hata kwenye kanga yapo.....

Askutishe na kelele nyingi....

Mi sitaki kujibu ayasemayo kwa mdomo, maaana najua wajua kwamba najua

Mpenz wewe usipate shida tulia tu..nna macho naona yote
 
Ili mkakeshe wote Twitter kama mnavyokeshaga na wahuni wako wa Mnyamala.......ni Shiderrrrrrrrr!!!!!!

hizi multiple id balaa ndo maana inasemwa kuna wana jf 500 tu wenye id 200,000
 
Atajueje wajua bila kukutana na ajuae?
Ili kupata uhakika kuwa wajua aje aone kuwa mimi sijui.

Anashida gani kupima kwako ndiyo ajue?? Alipopita kabla yangu panamtosha kulinganisha, sasahivi mimi ni nukta kubwa kwake.
 
Hahaha Mapi na Nyamgluu..!
Mie na Shem brenda18 tumeshaamua kura imdondokee nani. Nyie endleeni tu kupiga kelele hapa..!
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha haya bhana poa nimefurai tu mchepuko wa mchepuko. vipi leo huji twitter

Kama kawa...sasa ile juzi, ule mkokoteni uliousogeza pale kibarazani ulikuwa umekukosea nini?
...Nisalimie mvaa kikofia muendesha family cab....hahahah!!!!!!
Najua wivu huna ila roho inauma.....same to me!!!!
 
Back
Top Bottom