Umejifunza mambo gani JamiiForums..?

Umejifunza mambo gani JamiiForums..?

Mrundi kajifunze kiingereza..na kiswahili vizuri..
 
Hamkeni jaman

Sasa kama tungekuwa hatujaamka kila siku tungekuwa tunakesha humu JF? Na mpaka unaona WANAMUME tunapenda kushinda humu JF jua ya kwamba ndiyo tumeshaiona kuwa ndiyo NUMBER ONE SOURCE OF INFORMATION AND KNOWLEDGE na binafsi nadhani ALOSTO yangu ni kutokuwa on line muda wote humu na laiti JF ingekuwa ndiyo aina ya dawa ya kulevya nadhani Mimi ndiyo ningekuwa Teja wake wa Kutukuka. Naipenda na tunaipenda sana JamiiForums.
 
Lengo la huu uzi ni wanajamii forum wote tukutane hapa na kushare kitu au vitu ambavyo umejifunza kutoka jamii forum

Je,umebadilika vipi au umejengeka kwa namna gani kutoka jamii forum ?????

Mimi binafisi jamii forum imenijenga kisaikolojia kwa kunifanya niweze kujiamini zaidi.

Pia jamii forum imefanya niwe na wigo mpana katika nyanja tofauti tofauti za kimaisha

Karibu wanajamii forum wote ku_share katika hili


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachangiaji wengi ni mbumbumbu wasiojua kujenga hoja wengi wakitumia mioyo yao kuliko akili katika mijadala mbalimbali.
 
Back
Top Bottom